Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

Mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake! wenzangu na mie MWEMBE YANGA yatosha tena mwaka wenyewe wa uchaguzi huu tutapata nafasi nyingi za kumuona.
 
Haya sasa Wema na idris wanakuja na yao itaitwa Instagram party
 

Attachments

  • 1429679755619.jpg
    1429679755619.jpg
    47.9 KB · Views: 443
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50.

Msanii huyo billionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

Matumbo tayari anayo mkononi meza moja kwa ajili ya wanaJf kadhaa fans wa Diamond. Muda ukifika watatafutwa na kujulishwa kimya kimya na kila kitu kitaenda kimya kimya.

#Kimenuka

attachment.php

- Meza zote za Millioni Tatu na Millioni moja zimejaaa hahahahaha

Le Mutuz
 
- Meza zote za Millioni Tatu na Millioni moja zimejaaa hahahahaha

Le Mutuz
Moja la tangazo linasema kutakua na appearence ya diamond na shetta i was shocked ina maana diamond hatofanya show isipokua kuonekana tu akipiga story na audence
 
Back
Top Bottom