Show love kwa Dr. Ulimboka kwa kususia ibada ya mchungaji Gwajima

hivi ilikuwaje mpaka gwajima akahama pale ubungo na kuhamia tanganyika pakers.? maana wakati anahama nilipata sikia kwamba amepewa eneo hilo jipya tanganyika pakers kwa maagizo ya kikwete. hebu wenye data kuhusu hili watujuze na tuanzie hapa kuunganisha dots kama zinaunganishika.
 
Back
Top Bottom