The NTC is recognised by the Arab League and that's where the buck stops! No one takes seriously what Matonya club says na hata wakati wa kupitisha UN-resolution ni sauti ya Arab League ndio isikilizwa. Hapa kuna a case of mistaken identity and the truth is Libya has and will always be an Arab nation before anything else. Na kama kweli hawa wakubwa wa AU walikuwa na vision wangemshauri Ghadaffi aondoke mapema kabla ya hii aibu ya kutandikwa na NATO.
Pili, China na Russia na hasa China are the worst to rely on when it comes to state support. Ni wanafiki wakubwa and it is only a matter of time before they (China) switches on thier 'infamous' foreign policy called 'quiet diplomacy'. Mara hali ya hewa itakapotengamaa watachukua mafuta bila kujali nani anaongoza nchi. Na tofauti na nchi za NATO ambazo pamoja na 'ulafi' wao wa mafuta lakini kuna makundi ya kutetea (walau kwa sauti) unyonyaji wa nchi zao kwa wengine. China & Russia on the other hand, hakuna mwananchi atayethubutu kuongea kwa sauti kubwa hata kama watakuwa wanavua nguo Walibya mchana kweupe. Hakuna.
Binafsi, AU is a total joke, haiwezi kubisa kulinganishwa na OAU ambayo ilikuwa na visionary leaders with morals. Sasas hivi wamebakia madikteta na kama hawakusoma alama za nyakati iko siku Africa nzima itangia barabara kudai huu umoja ufutwe kabisa. Umoja gani huu umeshindwa hata kusaidia njaa Somalia, wanahangaika na dikteta aliyekaa miaka 40? Wanafikiri nchi za magharibi ni za kuandika cheque tu? No such thing as free lunch!