figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
membe kawatambua waasi?
How about Tanzania? Bado tunawaza hizo Dola za Gadaffi? Gadaffi was damn clever, alijua wananchi wake wengi hawampendi akaanzisha kugawa pesa kwa waafrika weusi poor, angalia Niger akajenga Msikiti Mkubwa haswa na Madoido kibao, Uganda hivyo hivyo na Tanzania ndani ya Dodoma na Maeneo kibao Dar, kawapeleka kusoma Dini waislamu kibao hivyo kuwa na Base kubwa hadi Ikulu za nchi zetu.
Was that a Democracy? Zimbabwe anajua hakuna Waislamu wengi hakujenga Misikiti ila alijenga Mahoteli na pia kununua Dhahabu za Zimbabwe ambazo zimepigwa Marufuku kwenye Soko la Dunia.
Kweli alijua kututamanisha na Madola yake na huku akiwagawa wananchi wake sio kwa sababu ya Dini bali ukabila.... Nyerere aliyasema hayo yote
Tuwe Makini...