gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,674
Nyumba Kubwa amesema nilichotaka kusema. Kuna swala la ushirikina, lisiwe ignored hata kama mmepima na kukuta mambo safi. Au ana lispiritual wife ambalo huuwa wake wa kibinadamu, kufiwa wake 2 yatia shaka.
Maisha ni zaidi ya ndoa, na God's time is the right one. Asubiri na hata asipoolewa bado haimfanyi kuwa nusu binadamu!
you always have brain Kaunga. Kumbe you do see this problem i a different angle as i do? frankly speaking huyu ni type ya wale ambao huwa wanatabia / mikosi kuwa ukioa au kuolewa nao basi lazima ufe. na ni desturi za baadhi ya koo tu za kiafrika but ukisema utaambiwa ni imani potofu kumbe siyo bana haya mambo yapo.
kule kwetu mwanaume /mwanamke wa jinsi hii alikuwa anaozeshwa ndugu yake wa damu wanavuunja undugu kwa kuchinja sijui makondoo kisha anaoa na mara nyingi binamu hii iliaminika kuwa ingepunguza chances za mwenza kufa na ukweli it worked out ukielezewa na kuwaona waliokubali haya uataamin.
Last edited by a moderator: