shost yuko njia panda

Nyumba Kubwa amesema nilichotaka kusema. Kuna swala la ushirikina, lisiwe ignored hata kama mmepima na kukuta mambo safi. Au ana lispiritual wife ambalo huuwa wake wa kibinadamu, kufiwa wake 2 yatia shaka.

Maisha ni zaidi ya ndoa, na God's time is the right one. Asubiri na hata asipoolewa bado haimfanyi kuwa nusu binadamu!

you always have brain Kaunga. Kumbe you do see this problem i a different angle as i do? frankly speaking huyu ni type ya wale ambao huwa wanatabia / mikosi kuwa ukioa au kuolewa nao basi lazima ufe. na ni desturi za baadhi ya koo tu za kiafrika but ukisema utaambiwa ni imani potofu kumbe siyo bana haya mambo yapo.

kule kwetu mwanaume /mwanamke wa jinsi hii alikuwa anaozeshwa ndugu yake wa damu wanavuunja undugu kwa kuchinja sijui makondoo kisha anaoa na mara nyingi binamu hii iliaminika kuwa ingepunguza chances za mwenza kufa na ukweli it worked out ukielezewa na kuwaona waliokubali haya uataamin.
 
Last edited by a moderator:
dah,hii issue mbona ngumu. . . mpaka mwenyewe natetemeka. n-way asantem wanajamvi wote kwa ushaur wenu. shost atach anganya na zake then atafanya maamuz sahihi. . . naahidi kuwapa mrejesho nyuma wa hii thread! muwe na cku njema. . . .
 
wanawake acheni tamaa unasema hana ngoma ulimpima? Mnapenda mno shortcut mno, km hana ngoma basi ana jini mahaba(spiritual wife) linaloua wake zake. Ni maombi tu ndo yatakayomwokoa. Mshauri shostito aachane na huyo serial killer
 
Tofauti ya miaka 21 ni kubwa sana. Jaribu kumuuliza huyo shost wako amemzimia/kumpendea kitu gani huyo dingi? upole wake, uwanjani 6x6, mapene anayompatia au nini hasa? imagine huyo dingi kwa sasa akiwa na miaka 45 na yeye anayo 24, je haoni kuwa kuna hatari mbele after 15 years kama mungu atamnusuru na kifo kama wenzake! kifupi hatofurahia ndoa hiyo unless kama anafuata chapaaa tu na sio mti pori.

Mbona miti pori ya vijana wa rika lake ipo mingi tu, mwambie asipende mteremko katika maisha.
 
Ndio mwanzo wa kuanza kukimbilia viserengeti boyz akiwa kwenye ndoa yake :hand:
 
hapo kuna nini kwani yeye kama kafika bei aendelee na huyo mzee ila
kila kitu ni temporary
 
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
kwani huyo shosti wako anamiaka mingapi? Ili tuone huyo ni mbaba au ni mbabu?0 aliyempita 21years na ana mmpangowa kuoa bado?
 
kwani huyo shosti wako anamiaka mingapi? Ili tuone huyo ni mbaba au ni mbabu?0 aliyempita 21years na ana mmpangowa kuoa bado?
mbaba ana 48 mdada 27. yeah bado ana mpango wa kuoa kwanini asioe jaman kwani hana haki ya kuoa?????????
 
Kama ana miaka 27 atakuwa ameshakomaa akili na anajua anachofanya. Angekuwa 22 years and below ningesema anafanya makosa kwa sababu ya utoto na anahitaji msaada asije jutia. Wengi wa below 22 ndo uwa wanadanganyika sana na pesa za wazee.

Miaka 27 ni mkubwa tu inawezekana ameshapima akaona wa umri wake hawana mpango.

Ila tatizo linabaki kwenye serial killer; angekuwa ni divorcee, ingekuwa powa tu.

mbaba ana 48 mdada 27. yeah bado ana mpango wa kuoa kwanini asioe jaman kwani hana haki ya kuoa?????????
 
hehe, mi na katoto kangu ka miaka 20 ako mi mwenyewe 29...katamu ako...ka joooootooo, si midada ya 26 -na kuendelea bariiidi kama nini vile, kama mijusi...haha...basi nakapenda kama katoto kangu..na kenyewe kananipenda kama baba ake..yaani mapenzi ya kupitana umri matamu hakuna mfano...same age sitaki tena..hamna raha wala heshima..huku heshima inakuwepo na mapenzi pia yanakua matamu hakuna mfano..
 
huyu baba naye si mzima, utaoaje mwanamke kama mtoto wako wa kumzaa jamani!!! Ndoa nyingi za hivyo huwa hazina maisha. hasa ni baada ya binti atakapogundua kua kumbe utamu upo kwa kijana mwenzie. huyo wa early twenties, hajui chochote kinachoitwa kupenda. Kwa akili yake anadhani mapenzi ni mipesa ya huyo baba, kumbe kuna mambo mengi, pesa ni by the way... akishagundua kosa lake wakati ameshaolewa, ataanza sasa kuwa ni vi boy friend ndani ya ndoa - makosa makubwa - afikirie kwanza but I think age gape ni kubwa mno. watoto wake watasomeshwa lini na huyu baba, by the time mtoto wake wa kwanza anamaliza darasa la saba, mume anatembelea mkongojo...
 
mbaba ana 48 mdada 27. yeah bado ana mpango wa kuoa kwanini asioe jaman kwani hana haki ya kuoa?????????
kama huyo rafiki yako ameshazaa yaani keshawahi kupata mtoto sio mbaya akijitumbukiza kwa hilo lidady, ila kama hajazaa aachane nalo atafute kijana mwenzake ambae watakua hawajapishana miaka mingi, pia achunguze kinachowaua
hao wake zake nini, usije ukampoteza shosti wako
 
wengi wa hawa watu wenye 40yrs ana above kama hawana wake ni kero na haswa wakiwa wanatembea na wasichana waliowazidi
umri lets say010yrs and above, hapo binti huwezi enjoy maana jua utaletèwa frustration zake mpaka uboeke
mwambie shost wako ajiandae kuletewa mafrustration na huyo baba mpaka akome,
40s yrs wanaboa bwana aache tamaa vijana hot mbona wapo?


0
 
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun


Sioni kama suala la umri ni issue hapo. Ingekuwa yeye mwanamke ndo amemzidi mwanaume kwa miaka hiyo 21 labda kidogo ningeona issue. Otherwise, umri huo kwa mwanaume muungwana ndo shosti wako ataenjoy love, atamlea haswaaaa. Mradi asimvujie heshima huyo babu.

Hofu yangu ni hivyo vifo vya hao wake waliotangulia.................................
 
hahahaa. . . ana kamgodi ka fedha!

Tena kama ana kamgodi ka fedha, mbona poa tu. Ajiachie tu, kwa raha zake. Hao wanaosema asubiri wa umri wake wanataka shosti wako limchweee. Hao wakupishana umri mwaka mmoja au miwili, wengi wao ni tabu tupu, wana kazi ya kuwakondesha watoto wa watu, ooohh, "fanya diet, usinenepe sana babe, sio nzuri kwa afya yako............." kumbe hawana lolote anaona utaonekana mzee zaidi yake, anaogopa wenzake wasimwambie amekuwa mariooooo kwa kuoa mdada mkubwa.

lakini babu, aaaah kwa raha zako, tena ndo anaona fahari kuchezea minofu ya damu changa, ukimkatizia mbele yake na kanga moko, daah,,,,, ndo unammaliza kabisa.

Mpe moyo shostito, asiachie bahati hiyo. Vijana wenzie watamtumia tu
 
Back
Top Bottom