shost yuko njia panda

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
 
age gap kubwa sana hiyo....ale utamu tuu ila amwambie kuwa hapa hamna ndoa
 
anampenda kwa dhati? kama ndio then go for it.. (gloria and jay form modern family)lakini itabidi avumilie maneno ya watu hivyo asiwe mtu wa kutetereka kwenye maamuzi yake
 
mhhhh avumilie atafute wa saizi yake.
amshauri huo libaba bae atafute mjane.
 
age gap kubwa sana hiyo....ale utamu tuu ila amwambie kuwa hapa hamna ndoa

Miaka 21? Ni gap kubwa kwa kweli. Raha ale na nani eda aje amkalishe yeye? Joke. Mwambie asikilize moyo wake mwaya.
 
mh itamsumbua binti bdae, wakijazoena ataja ona kama alikosea kwenda kwa m2 mzima kiasi hicho....kama kuna dalili ya kupata rika lake asubiri, kama hamna aende tu kwa hyo big dady
 
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun

Shosti wako ana matatizo gani hata mpaka leo hajapata alie katika rika linalomfaa? Pengine tukijuwa hilo tunaweza kumpa ushauri bora zaidi.
 
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun

Kwa nini mbunye nzuri kama hiyo aipelekee kwa lizee kubwa kama hilo hata kama maisha magumu sio kiivyo sasa.Mkataze coz hatafaidi mambo mengi akiolewa nalo ikiwemo IKIWEMO SWALA LA KUFIKISHWA KILELENI
my take:Njaa na maisha magumu yasimfanye ajichagulie long choice coz hatafaidi ndoa yake.
 
anampenda?
Kama anampenda wakapime ukimwi.....
Majibu yakiwa safi awe nae, umri si kitu.......
 
Duuh asiolewe bwana atakuwa huyo anawatoa wake zake mhanga but wait kama story naifahamu hii, isijekuwa huyo baba ni Cool Gentleman ?
MadameX acha kuniharibia bana mimi bado niko katika mchakato na unaendelea vizuri. Sasa story hii inauhusiano gani na mimi? Unajua uchawi huo?

habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun​

  • Sijawahi kuwa na mke akafa
    Sijawahi kuoa mke wa pili akafa

    Mimi kwa maneno maneno yake faili lako nimeshalichoma moto sasa. Afadhali Mungu kanionyesha mapema. lol
 
Last edited by a moderator:
MadameX acha kuniharibia bana mimi bado niko katika mchakato na unaendelea vizuri. Sasa story hii inauhusiano gani na mimi? Unajua uchawi huo?

  • Sijawahi kuwa na mke akafa
    Sijawahi kuoa mke wa pili akafa

    Mimi kwa maneno maneno yake faili lako nimeshalichoma moto sasa. Afadhali Mungu kanionyesha mapema. lol

Usiniache nikapata presha saa hizi, kivipi unitoe kwenye shortlisted
 
Huyo shoga ako ni mbaya kiasi gani mpaka akose mume wa rika lake?....au ni umaskini wamuandama na kaona mgodi kwa kibabu...
 
hiyo age kubwa sana..ni bora uoane na mtu aliyekuzidi umri lakini hajakaa kwenye ndoa bado..ila kwa hyu kazi ipo
 
Back
Top Bottom