Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
mar ya mwisho kupita hiyo bara bara ni mwaka 2006 nakumbuka kulikuwa na mashimo hiyo mitaa, hivi bado yapo tu? maghufuli anafanya nini sasa?Kuna shimo lipo hii barabara wanayotengeneza kigogo wanaita sijui randa bar kitu kama hicho hilo shimo ni balaa halafu linamaji kiherehere chote cha kukwepa foleni ya morogoro kiliniisha maana hapana na haka kavitz kangu nusu kazame hapo