Shimbo afungua chuo kikuu cha JWTZ

Status
Not open for further replies.
naona media zishaanza coverage yake.. bongo ni zaidi ya uijuavyo.

Katoka SA straight kwenye vyombo vya habari..........na mtoa mada anadiriki hata kusema '' My Take: KILA LA KHERI SHIMBO '' ......yaani aendeleze ayafanyayo
 
hivi trillioni tatu kwa nchi kama TZ siwezi amini labda ni rais tu mwenye uwezo wa kuhujumu kiasi kikubwa kama hiki.
 
This' what I can say: "Mind games!"

I get you Mkuu, Shimbo is the top security official, the whole TPDF discipline is within his hand, anything worse about him on faces of soldiers might trigger negative reaction on soldiers and that is very dangerous on national security and the fate of the rulers. He might be under constant surveillance and fews months to come will be forced to resign. The same game played on Mahita
 
kuna watu wameishika hii nchi mkononi wanafanya wanachotaka wanajua kucheza na akiri za watanzania kwa kadri wanavyoweza, wananchi tumegeuka midori ya kukuchezea. he haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom