Huwezi kuwasikia UVCCM wakizungumzia deep green, meremeta au hata epa ila sumaye..!Waache wagombane wao kwa wao. Mwisho watasahau kuiba kura 2015, then CDM inachukua nchi.
SUMAYE ofcourse wote tunajua hafai kuwa Rais; lakini hata hao vijana kama kweli wanaitakia mema nchi hii, hivi ni kweli uporaji wa mashamba wa Sumaye na kukopa milioni 50 kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii, kunamfanya awe mbaya sana zaidi ya Kikwete, Lowassa na Rostam? Kweli?
<SOURCE> taarifa chanel ten
Asema wanamashaka na uwezo wake kuwa rais wa Tanzania 2015
mvurugano
nawasisha