shibuda

Mwenyewe keshagundua kajivua uanachama Chadema siku nyingi, ndo maana ameenda ku-gatecrash semina elekezi ya ma-RC na ma-DC huko dodoma kwa magamba. Na atashangaa jinsi wapigakura wake wa Maswa watakavyomkaanga kwa kwenda kinyume na M4C.M4C ilipokuwa Chadema Square (Jangwani) eti yeye alikuwa kwenye high stool kwenye baa moja maaruf Dodoma. Shibuda kajimaliza mwenyewe kwa kutumia mdomo wake vibaya.
 
Back
Top Bottom