Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,840
- 4,601
Yule ndugu yetu muuza Madafu ambaye ameonekana kufananishwa na Kamanda aliyeonekana siku ya Muungano leo Ayo TV wamepita naye na amewaonesha Uwezo wake.
Kama Jamaa sio Mtu wa kitengo kweli basi napendekeza Jeshi liangalie namna ya kumpa mafunzo maana mwamba anaonekana yupo fit kinoma.
Angalia mwenyewe Uwezo wake kwenye video hiyo hapo juu