CCM ni Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi, je Wenye Chama chao Wananufaika? Chadema ni Chama Cha Wafanyabiashara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,977
141,986
Watu wengi huwa wanashindwa kutofautisha Malengo ya vyama vyetu Vya siasa

Kwanza nikiri hadi sasa vyama Vya siasa hapa nchini ni viwili tu CCM na Chadema vilivyobaki viliundwa mahsusi kwa ajili ya Kutoa Taarifa na kuvutia Siasa za Misaada na Mikopo kwa Wafadhili huko duniani

Ndio utaona ilikuwa rahisi sana Maalim Seif kuinunua ACT Wazalendo au Shibuda kuinunua Tadea lakini Bilionea Lowassa alishindwa kuinunua Chadema au Shujaa alishindwa kujimilikisha CCM

Ila nina Swali dogo,.Je CCM bado inawajali na kuwaenzi Wakulima na Wafanyakazi?

Nawatakia Dominica Njema 😀
 
Let put it right, CCM ni chama cha majinga, malofa, ma mbumbumbu, masikini wasiojielewa na ndio mtaji wa Samia et al! Kinaongozwa na wezi, wahujumu, machawa, wanafiki, mafisadi wa mali za umma, waonevu wa jumuiya ya watu masikini eg kuwafurusha wamasai etc etc), kuuza mali za Tanganyika na kuziacha za zanzibar

Chadema ni chama cha watanzania masikini (ulioletwa na CCM) wanaojitambua, kutambua haki zao, kuzipigania na kuzipata. Ni chama cha watu wenye Imani mioyoni mwao kuwa wanataka ukombozi na si ukoloni wa weusi wenzetu. Ni chama cha wenye uwezo wa kifddha lakini wanaotambua usawa wawatanzania wote kuwa na hali bora! Kuwakomboa mateka wa CCM (majinga, malofa, ma mbumbumbu, masikini wasiojielewa) na kuwpa utu wao. Erythrocyte
 
Hapo Chadema maskini ni Wewe tu labda na yule Pumbulu wa bavicha 😀
 
AAWA KABISA, LAKINI TUNAPEWA AKILI TUPAMBANE NA CCM ILIYOTULETEA MASIKINI FOR 63 YRS. NA HATUTAKI KUWA SEHEMU YA WEZI, KUJA KWENYE MASHETANI ccm
Mnapambana na CCM kwa Maridhiano?

Are you serious kabisa?!!
 
Watu wengi huwa wanashindwa kutofautisha Malengo ya vyama vyetu Vya siasa

Kwanza nikiri hadi sasa vyama Vya siasa hapa nchini ni viwili tu CCM na Chadema vilivyobaki viliundwa mahsusi kwa ajili ya Kutoa Taarifa na kuvutia Siasa za Misaada na Mikopo kwa Wafadhili huko duniani

Ndio utaona ilikuwa rahisi sana Maalim Seif kuinunua ACT Wazalendo au Shibuda kuinunua Tadea lakini Bilionea Lowassa alishindwa kuinunua Chadema au Shujaa alishindwa kujimilikisha CCM

Ila nina Swali dogo,.Je CCM bado inawajali na kuwaenzi Wakulima na Wafanyakazi?

Nawatakia Dominica Njema
Chadema si chama cha siasa. Ni SACCOS.
 
Lipuuzi hilo katika maendeleo ya nchi yetu (gari) si jingine bali ni CCM.
1601826648413.jpg
 
Let put it right, CCM ni chama cha majinga, malofa, ma mbumbumbu, masikini wasiojielewa na ndio mtaji wa Samia et al! Kinaongozwa na wezi, wahujumu, machawa, wanafiki, mafisadi wa mali za umma, waonevu wa jumuiya ya watu masikini eg kuwafurusha wamasai etc etc), kuuza mali za Tanganyika na kuziacha za zanzibar

Chadema ni chama cha watanzania masikini (ulioletwa na CCM) wanaojitambua, kutambua haki zao, kuzipigania na kuzipata. Ni chama cha watu wenye Imani mioyoni mwao kuwa wanataka ukombozi na si ukoloni wa weusi wenzetu. Ni chama cha wenye uwezo wa kifddha lakini wanaotambua usawa wawatanzania wote kuwa na hali bora! Kuwakomboa mateka wa CCM (majinga, malofa, ma mbumbumbu, masikini wasiojielewa) na kuwpa utu wao. Erythrocyte
CHADEMA ni laana ya taifa.
 
Watu wengi huwa wanashindwa kutofautisha Malengo ya vyama vyetu Vya siasa

Kwanza nikiri hadi sasa vyama Vya siasa hapa nchini ni viwili tu CCM na Chadema vilivyobaki viliundwa mahsusi kwa ajili ya Kutoa Taarifa na kuvutia Siasa za Misaada na Mikopo kwa Wafadhili huko duniani

Ndio utaona ilikuwa rahisi sana Maalim Seif kuinunua ACT Wazalendo au Shibuda kuinunua Tadea lakini Bilionea Lowassa alishindwa kuinunua Chadema au Shujaa alishindwa kujimilikisha CCM

Ila nina Swali dogo,.Je CCM bado inawajali na kuwaenzi Wakulima na Wafanyakazi?

Nawatakia Dominica Njema 😀
Chadema wafanyabiashara lakini mabilionea ni CCM kwa pesa zetu.
 
Ndiyo maana nimeomba JF kuwe na option ya watu gani uwe unaweza kuona post zao. sasa wewe badala ya kutoa arguent, unaleta ad hominem arguments! Priority yangu ni watu kama wewe mwashamba nisione mnachopost....
Wewe umesema CCM takataka ila mara Hii umeshasahau

Kichwa cha panzi 😂
 
Ndiyo maana nimeomba JF kuwe na option ya watu gani uwe unaweza kuona post zao. sasa wewe badala ya kutoa arguent, unaleta ad hominem arguments! Priority yangu ni watu kama wewe mwashamba nisione mnachopost....
Wewe ni mpumbavu. Huyo alivyosema CCM ni chama cha malofa na majina mengine mabaya hukuona? Halafu wewe kuona au kutoona post zangu haiathiri chochote. Hata mimi nitafurahi wapumbavu kama wewe msione post zangu.
 
Back
Top Bottom