Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,617
Karimjee alikuwepo ingawa hakuvaa gwanda lakini alikuwepo, naamini hata Ifakara alikwendaWana jf n kama sikumuona Shibuda popote kwenye msiba wa rejia je kuna mwenye data
Karimjee alikuwepo ingawa hakuvaa gwanda lakini alikuwepo, naamini hata Ifakara alikwendaWana jf n kama sikumuona Shibuda popote kwenye msiba wa rejia je kuna mwenye data
Hata Lissu Karimjee alikuwepo na nina hakika alikwenda Ifakarataratibu kiongozi -- mbona Lissu hakuwepo pia. Msiba si mkutano wa wabunge bali mtu ana hiari kuhudhuria au kutohudhuria.
Mh Sofia Simba sikumuona pia! Kuna mahusiano???
Acha uzabinazana mbona Lissu hakuonekana wala hamuulizi?