Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

B is a resident of kwetu district in the internet region. He got married to D in 2010.In may 2014 D brought divorce proceedings in kwao district in computer region. The district court dismissed the proceedings holding that there was no proof that the marriage had irreparably broken down. In November 2016, B petitioned for divorce in kwetu district court. The kwetu district court dismissed the proceedings for lack of jurisdiction including limitation of time. B appealed to the High court. Discuss the likelihood of B succeeding in the High Court.
 
Kiongoz mm nimeolewa KWA. Ndoa ya serikalin lakin Mume aliwahi kuwa.na MKE WA kanisan wakatengana je .endapo watarudiana .itaniletea tabu??? Na je ntajitete vip
 
Nashukuru kwa majibu yako. Lakini nina swali jingine kama hutajali, nalo ni: hivi kabla ya watu kufunga ndoa, huwa kuna utaratibu wa kuomba na kupewa 'marriage license' inayowapa hao wanandoa watarajiwa rukhsa na uhalali wa kufunga ndoa?

Nauliza tu hivyo kwa sababu kuna nchi zingine ambazo mtu huwezi tu kwenda kufunga ndoa halali bila kupata hiyo leseni ya ndoa.

Tanzania tunao huo utaratibu?
Unachotakiwa ni kusajili ndoa yako lita baada ya kufunga ndoa..!
 
Kama mtu na mume wake wameshindwana, wanafanyaje ili kuachana kisheria bila kujali sheria ya dini?
Mfano kama inawezekana kukubalina kwamba "tunaachana", je wafanye nini ili kutarikiana na kila mmoja kubaki huru kisheria?
 
UTANGULIZI

Wenza ambao wameoana kwa sheria zinazotambulika tanzania (kimila, kidini na kiserikali) hudai talaka mahakamani (divorce). Pia ambao hawajaoana kwa sheria hzi na wameishi zaid ya miaka miwili hudani KUTENGANISHWA (separation order) so separation na divorce ni tofauti na hutumika mazingira tofauti.

Kwa wewe km unataka kuachana FOREVER/Milele huna budi kwnd mahakamani kuomba talaka (km ilikuwa ndoa ya kisheria tajwa hapo juu) kwa kutoa sababu zilizoainishwa kwny kifungu cha 107 cha sheria ya ndoa sura Na. 21 R.E 2002 ukiwa na hati ya usuluhushishi kuwa ndoa imeashindikana kuendelea (broken irrepairable).

Lakini pia km hauhtaji kutengana nae maisha/milele mwaweza (nyote wawili) kuandika makubaliano ya kutengana (kuishi mbali) chini ya kifungu cha 67 cha sheria tajwa hapo juu. Mkaishi kila mtu mbali ila bado wanandoa.
 
Mkuu, PETRO E Mselewa,
Asante kwa kutoa muda wako na elimu yako kutusaidia.

Umesema sababu mojawapo ya kuomba talaka ni uasherati/uzinzi;
1. Je, kuna tofauti kati ya uasherati na uzinzi?
2. Kama vipo viashiria vyote/ pamoja na circumstantial evidence kwamba partner wangu ana mahusiano ya kimapenzi nje ya ndoa, lakini sijamshika "red -handed" , je naweza kufungua shauri la kuomba talaka?

Asante....
Mkuu, Sheria haikutofautisha kati ya uasherati na uzinzi. Kinachotakiwa ni mwenza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine. Lakini, ushahidi wa kimazingira tu hautoshi. Lazima kuwe na ushahidi wa moja kwa moja. Ni ima kuwakuta wakifanya au kukuta mawasiliano yao yanayozungumzia mahusiano yao.
 
Kiongoz mm nimeolewa KWA. Ndoa ya serikalin lakin Mume aliwahi kuwa.na MKE WA kanisan wakatengana je .endapo watarudiana .itaniletea tabu??? Na je ntajitete vip
Hapo hakuna haja ya kurudiana. Cha msingi kujua ni kuwa ndoa yako si halali kwakuwa ndoa ile ya mwanzo bado ipo. Kikubwa ni kujua pia kuwa ndoa ya kanisani ni ndoa ya mke mmoja. Hivyobasi, haiwezekani kuwa na ndoa nyingine. Kinachotakiwa ni huyo mume kuivunja rasmi ndoa ya kwanza ili kufunga ndoa hiyo ya kwako.
 
Asante sana Mkuu,

Swali la nyongeza.

Iwapo nimeambukizwa na huyu mke wangu ugonjwa wa zinaa, lakini nilipo m-comfront akakataa kuwa sio yeye, labda mimi ndio nimeuleta.
(Lakini mimi najua ni yeye maana sijakuwa na mwanamke mwingine).

Kwenye scenario kama hii, nifanye nini kwa ushauri wako, maana nilitaka kutumia hii kama njia ya kudai talaka.

asante
Mkuu, kisheria, kila jambo linalodaiwa hupaswa kuthibitishwa na anayelidai. Unapaswa kuthibitisha kila unachokidai ili kuwe na ushahidi. Acha kuwa na hisia tu. Sheria haipo kwenye hisia, ipo kwenye ushahidi usio na shaka.
 
Nilioa mke,yeyye akanunua kiwanja kimoja akaja akauza,nami alinikuta na nyumba,nikaja nunua kiwanja,akadai talaka,na kuondoka kwao,huko alikaa miaka miwili,baada ya usulihishi akagoma kurudi,nami nikampa talaka,kiislamu,anadai nae anahisa kwenye kiwanja changu,
je sheria inasemaje hapo kwenye kugawana mali?
 
UTANGULIZI

Wenza ambao wameoana kwa sheria zinazotambulika tanzania (kimila, kidini na kiserikali) hudai talaka mahakamani (divorce). Pia ambao hawajaoana kwa sheria hzi na wameishi zaid ya miaka miwili hudani KUTENGANISHWA (separation order) so separation na divorce ni tofauti na hutumika mazingira tofauti.

Kwa wewe km unataka kuachana FOREVER/Milele huna budi kwnd mahakamani kuomba talaka (km ilikuwa ndoa ya kisheria tajwa hapo juu) kwa kutoa sababu zilizoainishwa kwny kifungu cha 107 cha sheria ya ndoa sura Na. 21 R.E 2002 ukiwa na hati ya usuluhushishi kuwa ndoa imeashindikana kuendelea (broken irrepairable).

Lakini pia km hauhtaji kutengana nae maisha/milele mwaweza (nyote wawili) kuandika makubaliano ya kutengana (kuishi mbali) chini ya kifungu cha 67 cha sheria tajwa hapo juu. Mkaishi kila mtu mbali ila bado wanandoa.
Ahsante sana ndugu kwa ufafanuzi, nimekuelewa vizuri japo nabaki gizani kwa baadhi ya maeneo. Naomba ni PM namba yako ya simu kama utaniamini maana Jamiiforum ni privacy oriented id. But naomba niamini
 
Ili mahakama ivunje ndoa lazima mmepitia baraza la usuluhishi la ndoa (marriage conciliation board) ikashindikana kusuluhisha ndoa..kutoka kwenye baraza la usuluhishi mtapewa certificate kwamba usuluhishi umefeli kwahyo muende mahamakani.

Mahakama ktk kuvunja ndoa inakuwa inaongozwa na sheria ya ndoa ya Mwaka 1973 japo kuna revised edition ya 2002 ambayo inasema ndoa mpk ivunjwe n lazima iwe imefikia hatua ambayo haiwezi kurekebishika(the marriage has broken down irreperably) kumaanisha mmeenda usuluhishi wa bodi imeshndkana na mnaweza pewa separation period Kwa muda almost miaka 2 muangalie km mtaweza kusuluhisha.

Vyote vikishindikana basi mtafile petition for divorce itasikilizwa then ndoa itavunjwa na kubaki kuangalia mambo mengine kama division of matrimonial asset and custody of the children yani mgawanyo wa mali na matunzo ya watoto kama wapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom