Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 5,481
- 12,692
refer case of zakaria lugendo vs Shedrack Lumilangoma imeprovide elements za presumption of marriageKujua km kuna dhana ya ndoa kwanza kusiwe na ndoa.Lakini pili, lazima kuwe na ushaidi utaothibitisha kwamba wawili hao, yaani mwanaume na mwanamke wameisha pamoja kama mume na mke kwa kipindi kisichopungua miaka miwili na watu wanaowazunguka wakawatambua wawili hao kama ni mume na mke.