Sheria mpya ya usalama wa taifa ni mwiba KWA walioitunga.

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,538
17,473
CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo.

Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani mwenye serikali akichukia tu anatuma hao vipepeo na kumaliza KAZI bila hata wasiwasi!

Kama ni mbunge kapinga bajeti ya waziri fulani na waziri anamuona huyo mbunge ni kukwazo katika upigaji si atamlipa kipepeo YEYOTE akijua kipepeo hashtakiwi KWA jinai yeyote!!?

Hivi mmewaza haya au mlipitisha haya KWA akili timamu au mmelewa!!?

SASA tukipata dictator mwingine KWA katiba iliyopo unafikiri tutapona!!?mi ningekuwepo humo ningepingana na hata Baraza la mawaziri hata mwenyekiti wa ccm ningemgomea!

Hiyo SHERIA ni hatari hata KWA Rais mwenyewe coz akihujumiwa na wasiojulikana hawezi kuwashtaki popote pale!!

Ina maana hata akiumizwa na hao vipepeo hawezi wawajibisha KWA LOLOTE kisheria zaidi ya kutaka kutoa amri na wao waende na maji!

SHERIA hii inahalalisha mateso fulani KWA wale wenye FIKRA mbadala dhidi ya serikali,hii SHERIA inaenda kuua uhuru wa kutoa maoni indirect way!!

Pole chama changu CCM KWA kukosa maono,pole mama Tanzania!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo SANA
 
Hilo likinyango wanalolichonga litakuja kuwatishia wao wenyewe.

Hii sheria ikipita na akapatikana raisi mweny maono na mkono wa kidikteta.

Watasimuliaa vzr

Yatupasa watanzania tuzinduke before its too late
 
TISS ni UVCCM ni wahuni ambao hawajui majukumu Yao maana wanapeana Kwa kujuana ndio maana unaona nchi inatoroshwa twiga,fedha pale benki kuu wao wanashirikiana na MAWAZIRI kuiba rasilimali za nchi,lengo Lao ni kuwabana wapinzania ili nchi iendelee kubaki mikononi mwa majambazi
 
CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo.

Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani mwenye serikali akichukia tu anatuma hao vipepeo na kumaliza KAZI bila hata wasiwasi!

Kama ni mbunge kapina bajeti ya waziri fulani na waziri anamuona huyo mbunge ni kukwazo katika upigaji si atamlipa kipepeo YEYOTE akijua kipepeo hashtakiwi KWA jinai yeyote!!?

Hivi mmewaza haya au mlipitisha haya KWA akili timamu au mmelewa!!?

SASA tukipata dictator mwingine KWA katiba iliyopo unafikiri tutapona!!?mi ningekuwepo humo ningepingana na hata Baraza la mawaziri hata mwenyekiti wa ccm ningemgomea!

Hiyo SHERIA ni hatari hata KWA Rais mwenyewe coz akihujumiwa na wasiojulikana hawezi kuwashtaki popote pale!!

Ina maana hata akiumizwa na hao vipepeo hawezi wawajibisha KWA LOLOTE kisheria zaidi ya kutaka kutoa amri na wao waende na maji!

SHERIA hii inahalalisha mateso fulani KWA wale wenye FIKRA mbadala dhidi ya serikali,hii SHERIA ibaenda kuua uhuru wa kutoa maoni indirect way!!

Pole chama changu CCM KWA kukosa maono,pole mama Tanzania!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo SANA
Wanataka washughulikie s/ gang vizuri maana wamezidi

Alisikika mzee mmoja staff wa Idodomy bunge
 
TISS ni UVCCM ni wahuni ambao hawajui majukumu Yao maana wanapeana Kwa kujuana ndio maana unaona nchi inatoroshwa twiga,fedha pale benki kuu wao wanashirikiana na MAWAZIRI kuiba rasilimali za nchi,lengo Lao ni kuwabana wapinzania ili nchi iendelee kubaki mikononi mwa majambazi
Kaka nilichojifunza ni kwamba tatizo sio UVCCM .maana ni sehemu kuwa KADA ni mojawapo kati ya lisr requirements za kuwa recruited kitengoni. Shida ni kwamba inakuwaje wanatumika na wanasiasa kwa maslahi Yao huku Mali za taifa zinatoroshwa Ila wao wapo tu.
 
Back
Top Bottom