The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 213
Asili ya vyama vya wafanyakazi sehemu za kazi ni kutetea maslahi ya wafanyakazi. Leo hii hata ile sherehe ambayo wafanyakazi walistahili kukutana ili kutoa madukuduku yao imetekwa na serikali kwani sherehe hizo zimekuwa za 'wanene' wa nchi hii (Cheki na utarataibu au ratiba nzima ya sherehe yenyewe). Utakuta sehemu kubwa ukiacha risala ya wafanyakazi ni waserikali ndo wanaoitawala.
Segment hii ndogo (wafanyakazi) ya watanzania inahitaji kufanya suala la kuishitua serikali toka usingizini kuonyesha kuwa hali ya maisha inamuumiza kila mtanzania leo hii. Posho zao ni za kutisha wakati watumishi wa kawaida posho kwao itatoka kwa matakwa ya mabosi tu.