Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

Asili ya vyama vya wafanyakazi sehemu za kazi ni kutetea maslahi ya wafanyakazi. Leo hii hata ile sherehe ambayo wafanyakazi walistahili kukutana ili kutoa madukuduku yao imetekwa na serikali kwani sherehe hizo zimekuwa za 'wanene' wa nchi hii (Cheki na utarataibu au ratiba nzima ya sherehe yenyewe). Utakuta sehemu kubwa ukiacha risala ya wafanyakazi ni waserikali ndo wanaoitawala.

Segment hii ndogo (wafanyakazi) ya watanzania inahitaji kufanya suala la kuishitua serikali toka usingizini kuonyesha kuwa hali ya maisha inamuumiza kila mtanzania leo hii. Posho zao ni za kutisha wakati watumishi wa kawaida posho kwao itatoka kwa matakwa ya mabosi tu.
 
TBC1 Live, kikundi kidogo cha wanaCCM wanaonekana kwenye jukwaa karibu na mlango wa kuingilia. wanajitahidi kushangilia JK anapoingia
 
anapokelewa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi, anapanda jukwaani tayari kupokea maandamano ya wafanyakazi
 
Anakabidhiwa Folder sijui ndo lina hotuba yake ya mwezi kwa watanzania na wafanyakazi
 
Mbele vyama dhaifu vya wafanyakazi huku vikihujumiwa na UWT (Usalama Wa Taifa)....
Kila siku kelele zitendelea kuwa hizi hizi...
Full kupotea hii nchi
Na wanaoipoteza nchi hii ni hawa hawa tuliowaamini na kuwapa taifa letu mikononi mwao watulindie dhidi ya maadui. Hawa ni UWT yaani usalama wa taifa. Hawa sasa hivi ni usalama wa ccm na wala si taifa. Yaani wanafanya kazi zao kwa manufaa ya viongozi na waka si taifa.

Wapo tayari kuihujumu nchi au taifa kwa manufaa ya ccm. Kwa kweli kuna kazi kubwa sana ya kuwaelimisha UWT kuwa wanapaswa kutenda nini kwa manufaa ya taifa letu. Mungu ibariki tanzania na watu wake!
 
siku ya wafanyakazi,bendera za CCM za nini uwanjani? Au kuna chama cha wafanyakazi wa CCM kinawakilisha? Siku ya leo kwa maoni yangu ilitakiwa isiwe na itikadi kwani kuna baadhi ya wafanyakazi ni wanachama wa vyama vingine vya siasa.
 
Sasa wafanyakazi wanaandamana wakiongozwa na bendi ya polisi ....wafanyakazi wamefungua miavuli
 
Nimeboreka na Magamba wanavyokata Mauno kwenye sherehe yetu as if na wao ni wafanyakazi.:disapointed:
 
Nimeshangaa kuona sherehe za mei mosi tanga zimetawaliwa na rangi za ccm. Ina maana wafanyakazi wote ni ccm? Nawakilisha!
 
Kwa kuwa magamba wameishiwa sera, wameamua kudandia sikukuu ya wafanyakazi ili wapate sympathy ya wananchi.
 
Katika hali hiai ya kupanda gharama za maisha, kila kitu kiko juu mishahara haitoshi kabisa kumudu mambo ya lazima jamni!
Katika sherehe ya may mosi huko tanga ambapo kikwete ni mgeni rasmi wafanyakazi wanampasha rais au wanasheherekea pamoja? Naye rais ana majibu ya kweli ya matatizo ya wafanyakazi?
Rais anaelezea hatua za kupunguza mfumuko wa bei au anaishia tu kusema serikali haina hela!
 
Wafanyakazi wanakatwa kodi kubwa mshahara mdogo wafanyabiashara hawalipi kodi wanapandisha hovyohovyo bei ya vitu serikali yetu imekaa kimya huyu ****** anachekacheka tuu! TUCTA imebaki kama mbwa asiye na meno, Mgaya siku hizi hasikiki tena! Wafanyakazi tungekuwa na umoja serikali isingetuyumbisha ila migawanyiko yetu ndio faida kwa serikali!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom