Shemeji ananitaka Kimapenzi

Mimi nakushauri mgonge tu na mkubaliane iwe siri yenu na msingi uwe ni kumridhisha asigawe mali ya kaka nje basi,wewe endelea na mchumba wako naye aendelee na mumewe ila usimuache kabisa mgonge
 
ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni ..........huyo mwanamke ana lana si bure si bora angetoka huko nje kuliko kutaka kummix kaka na mdogo wake.....kabila gani huyo shemeji yako khaa!
ikimbie zinaa hiyo tena zambi kubwa kufanya na mke wa kakako
 
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya mwaka hawajakutana, namim namchumbawangu,nifanyeje?
Halafu inaonekana kuwa usingekuwa na Demu ungemgonga shemejio, acha tamaa na fuata ubinadamu na ujue kuwa yule ni ndugu yako hivyo mheshimu pia.
 
AMINATA, Asante kwa ushauri wako mzuri,nitauchukulia hatua, ni mtu wa singida...
 
Ikimbie zinaa hiyo! Akikufuata tena mpe ushauri km kweli wana tatizo katika ndoa yao waende kwa wataalamu,usipokee zawadi zake tena, mshirikishe mchumba wako atakutetea siku shemeji akikugeuka,jaribu kuongea na kakako kijanja km soga za kijiweni asiwe busy sn na kazi akasahau ndoa km huwezi jaribu kimshirikisha mtu mwingine wa karibu km kaka mkubwa zaidi aongee na bro amuhudumie wife mambo ya kitandani km vipi na maujuzi mengine atafute otherwise ndoa otavunjika watoto watataabika.fanya maombi sana na ogopa kumsaliti mchumba wako!
 
Kama ni demu wa singida ni tabia yao kupenda kugongwa
Hawana adabu wale yaani hata mngekuwa wanne au sita mngemgonga
Na uskuteanamsingizia tu bro kuwa hamgongi.
Hapa kuna demu alikutwa ameshikwa na mmasai aliyekuwa anamsuka nyumbani kwa jirani yake ghafla dada mwenye nyumba akawakuta chini mmasai anataka kumgonga,
Kujitetea akasema dada samahani eti shemeji yako hafanyi kazi vizuri. Yaani inawezekana ni uwongo mtupu ni katika kujitetea tu, nae alikuwa ni demu wa singida singida hapo kati ya dodoma
 
dogo 50% anataka, 50% anaogopa!, kakwama. Kama huna mazoea ya kuongea na kaka yako mambo ya kiutu uzima, Msimulie mama yenu aongee na kaka yako ili watatue tatizo kwa kushirikiana wote watatu!. Ni tatizo kubwa kuliko unavyotaka kulichukulia. Kabla sijaulizwa kwanini sio Baba, ni kwa sababu mi nahisi naweza kuwa wazi kwa mama kuliko baba!

Msaidie kaka yako kwa maana ushaona jinsi gani shemeji yako hana msaada kwake!
 
Kama ni demu wa singida ni tabia yao kupenda kugongwa
Hawana adabu wale yaani hata mngekuwa wanne au sita mngemgonga
Na uskuteanamsingizia tu bro kuwa hamgongi.
Hapa kuna demu alikutwa ameshikwa na mmasai aliyekuwa anamsuka nyumbani kwa jirani yake ghafla dada mwenye nyumba akawakuta chini mmasai anataka kumgonga,
Kujitetea akasema dada samahani eti shemeji yako hafanyi kazi vizuri. Yaani inawezekana ni uwongo mtupu ni katika kujitetea tu, nae alikuwa ni demu wa singida singida hapo kati ya dodoma

Swala ni tabia ya mtu , kama ni kabila basi wahaya wanaongoza kwa kugona hata ndugu kwa ndugu wa karibu
 
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya mwaka hawajakutana, namim namchumbawangu,nifanyeje?

Kwanza hazikutoshi, (akili au matope) umri huu bado unafugwa kwa kaka yako! Ebu funga bilago utafute room ukapange ili muanze mipango ya maisha na mchumba wako.
 
baba zina na nchumba unae bado unakaa kwa brother? Sasa ukikataa akimwambia kaka yako unamtaka? Hebu hama ujitegemee usijevunja undugu
 
Jamani ngumu kuzungumza na kakake kitu hicho directly ikiwa yeye ni mdogo kwake. Lakini lazima suluhisho lipatikane maana asipommega yeye atamegwa nje. Its sensive issue inabidi liongelewe na busara, inaweza kuwa ni fix za huyo mama, amtishie kumwambia kama atamwambia mumewe aone reactions atakayoitoa.

sor madame, hvi kama wewe imekutokea hyo mumeo yuko zero mambo flani utakubali kumegwa na mdogo wake?
 
Kama ni demu wa singida ni tabia yao kupenda kugongwa
Hawana adabu wale yaani hata mngekuwa wanne au sita mngemgonga
Na uskuteanamsingizia tu bro kuwa hamgongi.
Hapa kuna demu alikutwa ameshikwa na mmasai aliyekuwa anamsuka nyumbani kwa jirani yake ghafla dada mwenye nyumba akawakuta chini mmasai anataka kumgonga,
Kujitetea akasema dada samahani eti shemeji yako hafanyi kazi vizuri. Yaani inawezekana ni uwongo mtupu ni katika kujitetea tu, nae alikuwa ni demu wa singida singida hapo kati ya dodoma

jamani msifanye generalization!
 
Back
Top Bottom