Shemeji ananitaka Kimapenzi

hebu fikiria gaalfriend wako huyooo aende kwa bro wako akaombe kugongwa. unajisikiaje ukijajua?
 
mwaka mzima bother hajamkata kiu wife? aliteguka kiuno kwenye ajali ya pikipiki nini?
 
Nashukuru kwa Ushauri,Ijapokuwa Shemeji yangu yule mim siishi nae,ila amezoea sana kuja kwangu na sehemu kubwa ya pesa anayopewa na kakayangu ananinunulia zawadi na kuniletea kwangu,na kuniambia cku izi kakayangu nisawa na dada,eti nikimkataa atakunyw sum.
 
dah, kama hali iko hivyo basi ni bonge la mtego... jaribu kumshauri azungumze na bro kuhusu tatizo lao ili waweze kulitafutia ufumbuzi
 
Maelezo yako yanaonesha tayari umeshsakula mimi nilichokiona hapa ni kwamba unatafuta mawazo ya kuhalalisha uovu. Hama kwa kaka yako ukaishi sehemu nyingine.
 
Muite kaka yako umueleze Hali halisi,huwezi jua Kama jogoo ndio hivyo kweli anaweza kukwambia rambaa kwa Siri huwezi jua nyumba zina mambo mengi......
 
Jamani ngumu kuzungumza na kakake kitu hicho directly ikiwa yeye ni mdogo kwake. Lakini lazima suluhisho lipatikane maana asipommega yeye atamegwa nje. Its sensive issue inabidi liongelewe na busara, inaweza kuwa ni fix za huyo mama, amtishie kumwambia kama atamwambia mumewe aone reactions atakayoitoa.
 
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya mwaka hawajakutana, namim namchumbawangu,nifanyeje?

kamwambie kakaako azidishe ufundi kama kipindi kile alichomuoa na chengine kwanini asimwambie huyo mmewe kwamba siku hiz kaloose control..
 
Jamani ngumu kuzungumza na kakake kitu hicho directly ikiwa yeye ni mdogo kwake. Lakini lazima suluhisho lipatikane maana asipommega yeye atamegwa nje. Its sensive issue inabidi liongelewe na busara, inaweza kuwa ni fix za huyo mama, amtishie kumwambia kama atamwambia mumewe aone reactions atakayoitoa.
Akimtishia kwamba atamwambia kaka yake ndio itakuwa mbaya zaidi. Je, mama akiamua kugeuza stori kwa mume wake unafikiri nani ataaminika zaidi? Hapa dogo anatakiwa aendelee kugonga kimyakimya tu...
 
Mkuu,kazi yake bodaboda, anaondoka asubuhi anarudi usiku,mimi nimeamua kukata mawasiliano kabisa na huyo shemu,iwe simu au kufika kwake,Kwani kumwambia bro siwezi,nashukuru kwaushauri wenu.
 
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya mwaka hawajakutana, namim namchumbawangu,nifanyeje?

Fred, mimi ni kaka yako.. naonba njoo PM
 
Aah, Kiraka acha utani ndugu, mimi naishi mbezi, nije PM wapi mbona sikuelewi?.
 
Back
Top Bottom