Shemeji ananitaka Kimapenzi

Fred Wk

Member
Mar 13, 2012
65
26
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya mwaka hawajakutana, namim namchumbawangu,nifanyeje?
 
Mkuu unauliza ukitegemea utapewa jibu la go ahead? Hamna cha kukushauri hapo hata kama kaka yako ni shoga, still ni mke wake, so in other words, :yell: OGOPA WAKE ZA WATU.:yell:
 
Huyo shemeji yako ana pepo la ngono ambalo anataka kukuambukiza. Achana naye
 
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya mwaka hawajakutana, namim namchumbawangu,nifanyeje?

Kama ungekuwa huna mchumba ungemsaidia kakako kazi? cjaelewa tatizo ni ww kuwa na mchumba au maadili ! Mwambie yy kuwa na uhusiano na ww hakutatatua tatizo alililo nalo mumewe hivyo wawaone wataalamu ili wapate ushauri.
Usijiweke katika mazingira ambayo yatawaletea ushawishi,ie jitahidi kutokuwa peke yenu, na jishughulishe ili kuondoa uwezekano wa kuwaza hilo jambo.
 
JAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMANI, TOKA KWA KAKA YAKO, NDO MADHARA YA KUKAA KWA MANDUGU DIGITAL, MWAMBIE KAKA YAKO KAMA KWELI HAGONGI ZIGO AANZE KWA FUJO, MAANA AKSIPOKUNASA WEWE ATATAFUTA MKATA NYASI WA NJE, SASA HAPO UKIJUMLISHA NA UKIMWI, UTAMKOSA BRO WAKO. KATAAAAAAAAAAAAAAAAA KABISAAAA:director:
 
Hebu acha utoto na wewe dogo, maswali gani haya ya kuja kujiuliza hapa? Una akili za kushikiwa au? Hata hili unataka hadi wakushauri wana JF. Hiki kizazi vipi?
 
hilo nalo la kuuliza ufanyaje?

Kama inaishi na ndugu yako hama sasa,
kama unaishi kwako mpige marufuku shemeji yako kuja.......
Na kwa vile hauna maamuzi mueleze mchumba wako tatizo lako mtafute solution pamoja....
 
mwambie kama anakutaka ili uweze mtimizia analotaka mumshirikishe na kaka yako ambaye ni mmeo kwasababu wewe mapenzi ya siri huyawezi nina imani atakoma.
Usiponesha msimamo utaanguka mtegoni mwoneshe kweli kuwa hutaki siyo kuja hapa na kuomba ushauri tu wakati ukiwa naye huoneshi kwa vitendo kuwa hutaki au nawewe unataka?
 
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya mwaka hawajakutana, namim namchumbawangu,nifanyeje?

Sooo hilo huyo shemeji yako anataka kukutafutia hapo. Duuuuh una mchumba halafu upo kwa shemeji yako niaje hapo?
 
Back
Top Bottom