Kuteswa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
845
1,931
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina Kilo 97 naishi ndani ya Dar, ni mkaka mweusi, mfupi kiasi. wengi wanahisi mimi ni MUHA kutoka Kigoma kulingana na weusi wangu na unene ila kiukweli mimi ni mdigo kutoka Tanga paleee saharee.

Kijana mwenzenu mimi nateswa na mapenzi yani nateswa haswa sina khari Jamani. Nishaumizwa sana. Nishalia sana. Nishateswa mimi Ila ndio ivo huwa sikomi likitoka jike hili kuniumiza naingiza jike jingine moyoni no mala waaa.

Kwasasa naishi na mwanamke kabila lake ni MRANGI ni binti Mzuri sana, nilimt0ng0za akakubali ila ni single maza ana wat0t0 wawili ila kwangu haikuwa kesi, nimemuhamisha alip0kuwa anakaa na sasa naishi nae kwangu yeye na wanae wawili, Wanakula ugali wangu, nawapa nauli za shule Na kuwazingatia hii yote cuz niampenda mama yao.

Huko nyuma kama nilivyosema awali kuwa nishalizwa sana na mapenzi ila kwasasa nikahisi kwa huyu single maza nimepata pumziko ila ni Kivumbi hakuna cha afadhali, nimekuwa mtu wa kugongewa sana na watu wa mtaani, shemeji yenu anagawa sana UTAMU, nishamfumania sana ila nguvu ya kumuacha SINA, vinabaki kulia tu,kwasasa niseme ananinyanyasa mana hata unyumba sipewi anapewa mtu mwengine huk0 njee anaitwa EZE.

Jana nimekuta anasifiwa kwenye SMS kwa utundu aliotoa kwa jamaa mmoja aliemsevi EZE. Nimelia sana na nimes0mea kesi ila ananipuuza anasema nikumuacha sitapata mwanamke mremb0 kama yeye basi akiniambia ivo nakosa nguvu ya kumuacha.

Pia hata nikimuacha atakaekuja nae ni ivo ivo tu mana nishag0ngewa sana,nishaachwa sana. Sijui tatiz0 langu ni lipi mpaka nateswa ivi na mapenzi. Sina furaha na maisha ya kimapenzi na kuwa single siwezi.

Masela wananigongea mademu zangu,Masela wananichapia sana. Sijajua hapa na0mba ushauri au laa. Mana hata mi mwenyewe sijui nini nahitaji ila kikubwa sitaki kumuacha nampenda sana mpenzi wangu.

Ila kama eze up0 humu plz kaka achana na mpenzi wangu nampenda sana.
 
Mwana una kumbukumbu dah sema Nilihama na kwasasa naishi gongo la mboto na mrangi wangu...
Hahaha aseee. Noma sana achana na mapenzi kwa umri huu mkuu tafuta maisha mapenzi utayakuta at 45 huko utakuwa umeimarika sana ki akili
 
Mimi ni kijana wa miaka 29 Nina Kil0 97 Naishi ndani ya dar,Ni mkaka mweusi,mfupi kiasi...Wengi wanahisi mimi ni MUHA kut0ka kig0ma kulingana na weusi wangu na unene ila kiukweli mimi ni mdig0 kut0ka Tanga paleee saharee....

Kijana mwenzenu mimi nateswa na mapenzi yani nateswa haswa sina khari Jamani....Nishaumizwa sana...Nishalia sana...Nishateswa mimi Ila ndi0 iv0 huwa sik0mi likit0ka jike hili kuniumiza naingiza jike jingine m0y0ni n0 mala waaa....


Kwasasa naishi na mwanamke kabila lake ni MRANGI ni binti Mzuri sana,Nilimt0ng0za akakubali ila ni single maza ana wat0t0 wawili ila kwangu haikuwa kesi,Nimemuhamisha alip0kuwa anakaa na sasa naishi nae kwangu yeye na wanae wawili, Wanakula ugali wangu,nawapa nauli za shule Na kuwazingatia hii y0te cuz niampenda mama ya0...

Huk0 nyuma kama nilivy0sema awali kuwa nishalizwa sana na mapenzi ila kwasasa Nikahisi kwa huyu single maza nimepata pumzik0 ila ni Kivumbi Hakuna cha afadhali,Nimekuwa mtu wa kug0ngewa sana na watu wa mtaani,shemeji yenu anagawa sana UTAMU,nishamfumania sana ila nguvu ya kumuacha SINA...nabaki kulia tu,kwasasa niseme ananinyanyasa mana hata unyumba sipewi anapewa mtu mwengine huk0 njee anaitwa EZE...

Jana nimekuta anasifiwa kwenye SMS kwa utundu aliotoa kwa jamaa mmoja aliemsevi EZE....Nimelia sana na nimes0mea kesi ila ananipuuza anasema nikumuacha sitapata mwanamke mremb0 kama yeye basi akiniambia iv0 nak0sa nguvu ya kumuacha....

Pia Hata nikimuacha atakaekuja nae ni iv0 iv0 tu mana nishag0ngewa sana,nishaachwa sana...Sijui tatiz0 langu ni lipi mpk nateswa ivi na mapenzi...

Sina furaha na maisha ya kimapenzi na kuwa single siwezi...

Masela wananig0ngea mademu zangu,Masela wananichapia sana....

Sijajua hapa na0mba ushauri au laa... Mana hata mi mwenyewe sijui nini nahitaji ila kikubwa sitaki kumuacha nampenda sana mpenzi wangu....

Ila kama eze up0 humu plz kaka achana na mpenzi wangu nampenda sana...
35
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom