Sheikh Yahya Alazwa !!

kweli mganga ajigangi na mchimba mashimo utumbukia mwenyewe jigange ss jitabirie ss ewe bingwa wa kutabiri elewa mungu adhihakiwi apandacho mtu ndicho avunacho
 
Bado tunasubiri

Hakuna apendaye jirani yake augue achilia mbali kufa! Ila kwa huyu mzee yeye aligeuza taifa la tanzania kuwa darasa la kufundishia uchawi na kazi za majini, alijifanya mnajibu wakutabiria watu mabaya kwa mazuri kadiri apendavyo kanakwamba alitumwa na Mungu na mbaya zaidi kwa makusudi akatangaza kulinda mafisadi tena kwa vitisho akasahau kwamba Tanzania ni ya Mungu sio kibanda cha kupigia ramli. Hivyo anachoweza kufanya apone ni kutubu HARAKA juu ya uovu wote aliofanya kwa siri na hadharani kwa kutumia vyombo vya habari.

Na kwa CCM wao walisahau sana kwamba Mungu ndiye aliwapa kuongoza. Maada ya muda wakainua mabega. Wakajiona wao ndio wao wakajifurahisha kwa kila anasa wakanawiri sana kana kwamba hakuna cha Mungu hakuna cha maskini hakuna cha wazee hakuna cha vijana hakuna cha wanawake hakuna cha watoto hakuna cha walemavu hakuna chochote cha kuweza kuwaondoa kam wenyewe hawajaamua kuondoka. Wakajichanganya zaidi kwao kukumbatia ufisadi na kunyonga haki za maskini. Kujihesabia haki wakawa wanatembea kwa kutumainia maneno ya unajimu yasiyotoka kwa Mungu na wakafany wachawi kuchukua nafasi ya Mungu. Mungu anayahesabu kuwa na ibada za sanamu na kama babeli lilivyokuwa taifa kubwa sana likashushwa mara ndicho Mungu anachosema kwamba wenyewe watasikia na kuona mambo ambayo hawataamini!
 
Unachopanda ndo unachovuna. Amemdharau Mungu kwa kusema yeye ndo mwenye kutoa ulinzi kwa wanadamu awapendao. Sasa Mungu anamuonyesha kwamba yeye(Mungu ) is above all, na hakuna mwanadamu atakaye uchukua utukufu wa Mungu.

Sijali wewe ni Masauni yupi but uliyoyanena hapo ni KWELI TUPU. Nimekupa thanx pale kwa maneno haya mazito na kweli.
 
labda ndo utabiri wake unatakakutimia, maana wiki iliyopita alitabiri, asipokufa ngombea urais mmoja atakufa yeye,
 
Hivi mganga huwa hajigangi? Dakta JK, Salma, Riz, Miraji? na Chipukizi? wameshafika kumjulia hali? Rev. Gen. Shimbo, Dr. Kinana, Prof. Makamba je? Pole sana Super Chief of Tanzanian Defence Forces.
 
Alijisahau akahamishia silaha zote kwa Mfadhili wake.Tatizo litakuwa pale atakapo amua kuzichukua sijui Mfadhili atabaki na nini?
 
Source: TBC1 Habari ya saa 2

Yuko kitandani anaumwa.... TBC wameonyesha kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

ANACHEZA NA MUNGU HUYU!!!!!!!!!

Mungu yupi tena? Maana kuna miungu kibao?

Halafu mkiambiwa siasa zenu zime-base kwenye dini mnakuwa wakali utafikiri mmelishwa pilipili hoho.
 
Asife jamani, anakimnbia aibu nini? Inaelekea Pweza Paulo Kamzidi ujanja, kavaa bendera tofauti! Mwe
 
Source: TBC1 Habari ya saa 2

Yuko kitandani anaumwa.... TBC wameonyesha kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

ANACHEZA NA MUNGU HUYU!!!!!!!!!

Mkuu Ngaramu uliyeanzisha hii Topic unamzungumzia sheikh Yahya Hussein kuwa anaumwa ili iweje humu ndani ya hii Jamii Forums? Hamtafuti Topic za maana za kuzungumza

mnamzungumzia Mtu matatizo yake jamani? Hakuna humu ndani kitu cha maana cha kuzungumza mpaka mum zungumzie eti Sheikh Yahya Hussein anaumwa jamani? Humu ndani hamna watu waliyokuwa wagonjwa kama Sheikh Yahya Hussein? humu ndani hamna watu waliyekuwa na Mzee kama sheikh Yahya husseni jamani? mbona humu kwenye hii Jamii

forums kumeingiliwa na wachafuzi wa mambo? Waswahili husema unapotaka kumsema Mtu aibu yake kwanza angalia wewe aibu yako jamani acheni mambo ya umbea ya kumsema sema mtu tutafute mambo ya Maendeleo sio kumsema huyu mara kesho yule mara keshokutwa mwengine kazi zetu ndio hiyo kila kukicha tutafute Masuala ya maendeleo sio kusema sema watu pasipokuwa na mpango wowote asanteni.
 
Mkuu Ngaramu uliyeanzisha hii Topic unamzungumzia sheikh Yahya Hussein kuwa anaumwa ili iweje humu ndani ya hii Jamii Forums? Hamtafuti Topic za maana za kuzungumza mnamzungumzia Mtu matatizo yake jamani?.
Tuna mzungumzia kwa sababu ni mlinzi mkuu wa rais wetu anae maliza muda wake..
 
hako kajaamaa ni kanajimu feki!! tokea mimi mdogo nakasikia tu; kamemdanganya JK kwa kumpa pete ya majini na kuijdai anweza kulindwa nayo, sasa yeye mwenyewe vipi? majini si kitu mbele ya nguvu za MUNGU! Mwenzie anayemtegemea (JK) majini yalishindwa kumuokoa asianguke 2005 wakati wa kampeni, yaklishindwa kumuokoa pale Jangwani na alipokutana na nguvu za ROHO MTAKATIFU kwenye mkutano wa Maaskofu kule kanda ya ziwa.....
Kama kweli majini yapo na yanafanya kazi kwa nini asiyaite hapo alipo yamnyanyue?
Haihitaji utabiri hapa, tunamuombea heri lakini mimi naona ndiyo lala salama.....

Umenikumbusha kitu muhimu: Yesu akiwa pale msalabani, ilitolewa kauli, kama yeye ni masiha, basi ajiokoe yeye mwenyewe! Mwe! usije ukamlinganisha Mnajimu na huyu Yesu!
 
One chakachuarist down...many to come....ndio maana nilikutana na hii njemba jana usiku ikiwa spidi bila ving'ora kuelekea kwa mgonjwa kuwahisha tiba maana kinga imeshindikana

satan.jpg
 
Mungu amrehemu ili aone Maamuzi ya Watanzania.. Japo alijitabiria kifo mwenyewe!!!!

Vile vile akumbuke kwamba Mungu yupo na ndiye apangae maisha na uhai...
 
.... Anatabiria wengine kufa lakini yeye hajawahi kusema atakufa lini. ashindwe na alegee na mapepo yake..
 
Mungu yupi tena? Maana kuna miungu kibao?

Halafu mkiambiwa siasa zenu zime-base kwenye dini mnakuwa wakali utafikiri mmelishwa pilipili hoho.

Wanamzungumzia Mungu aliyeumba Mbingu na nchi, Mungu wetu,Mungu wa Abraham, Mungu wa Israel.
 
Back
Top Bottom