Na wale walinzi wake atakuwa amewapeleka wapi? Amewakana? Duh! Labda.wadau kuna tetesi kwamba sheikh yahya kabatizwa kwa jina la YESU ni kweli?
Jamani hata kama ni mtu mwenye dhambi msifurahie kuumwa kwake. ni wengi sana tuna dhamb japo mnaziona kama ndogo.
MUNGU atusaidie sote.
pole yake, kuweni makini, atahamishia ugonjwa kwenu, ha haha
Majini yamekataa kutumwaAnaumwa nini?
ah kwa kweli kuna watu unaweza kusema wana faida kwa taifa hili. lakini huyu mtanzania mwenzetu amekuwa ni hasara kwa kwenda mbele. anawadhalilisha waislam wenzake kwa kuchanganya imani na majini, anajiita sheihk na anahutubia ilihali anapiga bao.Msanii na Mfwatiliaji mmenichekesha kweli sina mbavu!! Mungu amponye huwezi kushindana na nguvu ya mungu Shekhe Yahya. Mwache Mungu aitwe Mungu.
Watu wenye mawazo mafupi kama ya Shekhe wao utawajua tu mandondocha.mimi nawasiwasi na mkono wa chadema huenda wamemkolimba kwani mnajimu huyu amekuwa mwiba mchungu kwa chadema!!!
Namwombea apone haraka na kurejea katika afya yake
yaguju Dr slaa hawi rais wa TanzaniaYap! Ashuhudie Dr. Slaa akiapishwa kuwa Raisi wa Tanzania wa awamu ya tano.
Source: TBC1 Habari ya saa 2
Yuko kitandani anaumwa.... TBC wameonyesha kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.
ANACHEZA NA MUNGU HUYU!!!!!!!!!