Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Wacha ajitokeza kubisha tumwage SUMU humu, tumechoka kumvumilia...

kamwe hatajitokeza wewe kama una majina mwaga hapa usianze longolongo kama za zitto dhidi ya pesa ya uswisi au ulimboka dhidi ya watesaji wake! weka majina au kaa kimya!
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

Hili la kwamba siyo raia walishalisema sana lakini halina nguvu kwa sababu kila mtu ambaye ni mpinzani aanambiwa siyo raia. Nakumbuka hata Gen. Ulimwengu walisema kuwa siyo raia licha ya kuwa aliwahi kuwa mkuu wa wilaya!!!!

Hoja ya msingi ni juu ya hao wafadhili wanampa kichwa cha kuchochea vurugu. Wewe unadhani kwa nini serikali haimchukulii hatua licha ya kujua hayo yote uliyoyadai????
 
Kama si mtanzania ,kama mnakumbuka dar es salaam wizara ya uhamiaji ilitoa details za kutosha kuthibitisha kua ni mtz??

Cheti cha kuzaliwa,shule ya msingi,sekondari(o level+a level) na vitambulisho vingine kama kura na vya kidini

Sasa we mtoa mada haya umeyapata wapi?
Kati ya wewe na wizara ya uhamiaji tumwamini nani??
Acha kujikoroga mkuu!!

'' Nan-sens on yua brein''
Try to put forward your effort on true stories
Badilika mkuu,,SHEIKH PONDA ni mtanzania halisi

hapo kwenye ilmu ndipo napopata shida.. According to Mufti Ponda hajasoma hata darasa moja;
my take : badilisha hapo
 
JF raha sana, kuna post humu ilimnukuu mmoja wa viongozi wa uhamiaji (kama sikosei miongoni mwa wakurugenzi) akielezea uraia wa ponda!
Natumia mobile ngumu kuitafuta, ilikuwa na heading "uhamiaji yamsafisha Ponda" sasa hii ngoma leo inatoka wapi!? Aliye na nafasi auweke ule uzi hapa.
 
Yaani nyie ndo matango kweli wewe ndo sio mtanzania na kardinal pengo wako.Hata huyu mlie mzika mara kumi kumi nae tumepata habari zake ni mrwanda mbavu kabisa.Go ponda will always behind you.

kumbuka aliyezikwa mara kumi kumi hakufanya ***** na ushuzi kama ponda wenu bali ni maendeleo ambayo hata wajukuu zako watafaidi siku zote.
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

Mi najitolea kumuwakilisha Ponda, namfaham vema, ni mtanzania wa kuzaliwa ingawa mzazi wake mmoja anatokea Burundi. Uhamiaji wamethibitisha hilo na ndo maana mpaka leo bado anadunda.

Haya tumwagie hayo majina ya wafadhili wake hapa tuchambue acha woga.
 
Hata mimi niliishamshitukia huyo bw lakini nashangaa serikali imewafunga wageni wengi humu nchini tena tunawajua sana hata kwa majina,lakini inwasumbua watanzania halali sababu tu hawa wageni ni machampioni wa kutoa kitu kidogo na wakubwa na tena wengi wao hata watapooomba pasi za kusafiriria hata hawsumbuliwi kama wanavyosumbuliwa watanzania wazawa wa nchi sijui tunaenda wapi.Kila jambo lina mwisho wake na nguvu ya umma haishindwi.
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

Kama Ponda si raia wa Tz, mbona kuna wengi tu ambao wakionekana kupinga CCM wanaondolewa uraia wao na pindi wakirudi wanarudishiwa uraia na kupewa vyeo. BASHE, KESSY Mb, na wengine. Huyo ponda kwa kutetea imani yake anaondolewa uraia.
 
yaani nyie ndo matango kweli wewe ndo sio mtanzania na kardinal pengo wako.hata huyu mlie mzika mara kumi kumi nae tumepata habari zake ni mrwanda mbavu kabisa.go ponda will always behind you.

utumboooo!
 
ndugu wanabodi,

napenda kuwaambia watanzania wapenda amani na utulivu kuwa sheikh ponda issa ponda siyo mtanzania na kuwa ni mtu wa burundi aliyeingilia kigoma na kuzamia dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali amani.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko usa, uk na nchi za uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya kigoma na tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa ponda siyo kuwa natetea maslahi ya waislamu bali tumbo lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya usalama vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.

bola angekamatwa akiwa amekufa...
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.
Hapo pekundu sikubalini na wewe.
 
ponda ni kirusi cha hatari ndani ya jamii yetu, hana manufaa yoyote kwa jamii yetu zaidi ya kutuelekeza kwenye dimbwi la machafuko kama ambavyo yamewahi kutokea BURUNDI nchi ambayo anatokea. ponda ni pumbafu fulani na kila anayemuunga mkono ni pumbafu vilevile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom