Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Hili la kwamba siyo raia walishalisema sana lakini halina nguvu kwa sababu kila mtu ambaye ni mpinzani aanambiwa siyo raia. Nakumbuka hata Gen. Ulimwengu walisema kuwa siyo raia licha ya kuwa aliwahi kuwa mkuu wa wilaya!!!!

Hoja ya msingi ni juu ya hao wafadhili wanampa kichwa cha kuchochea vurugu. Wewe unadhani kwa nini serikali haimchukulii hatua licha ya kujua hayo yote uliyoyadai????
kwa sababu serikali yenyewe inahusika,na kwa sababu imeshindwa kutawala na kuongoza pia inatumia mbinu dhaifu kuwatumia watu wenye elimu finyu kutaka kutawala kijanja bila kujua kwamba wanaihatarishia nchi usalama wake.
 
Unasema sio mtanzania ww mama yake? au mkewe? achen fitna mbona padri wenu alisema nchi haitawaliki hamkusema naye sio mtanzania ktk kukataa sensa hujui sababu? achen udini
 
Unasema sio mtanzania ww mama yake? au mkewe? achen fitna mbona padri wenu slaa alisema nchi haitawaliki hamkusema naye sio mtanzania ktk kukataa sensa hujui sababu? achen udini tutapgana cku moja mnatitia adabu
 
panda, pende, pindi, pondo, pundu! ooooppsss ni ponda kumbe!! laanakhum! hiki tena ni kirusi gani??, mbona virusi vipo vingi vya kututosha???
 
Usalama wa taifa wanatakiwa kuwa na file lake loote na shughuli zake zoote kama anapata pesa nje wanatakiwa kujua wapi na kwa nani na kwa nini, ndio kazi yao sio kumteka Ulimboka!

Walishamkamata na kumfukuza nchini miaka ile ya mwembechai,sijui iliishiaje wakamuacha tena, sasa ameshakuwa sugu maana ni mzoefu kwa sasa.

Hawawezi kumfanya chochote,udini walioueneza wao ndio unafanya kazi kwa sasa.
 
Wanatakiwa kutajwa siyo kufumbiwa macho, maana utaratibu huu sasa unazoeleka, utasikia kiongozi anasema wala rushwa nawafahamu hivyo waache la sivyo nitawataja na sakata la madawa ya kulevya hivyo hivyo, taifa linaangamia na wanaoturudisha nyuma tunapaswa kuwafahamu, mambo ya funika kombe mwanaharamu apite hayana nafasi tena.
 
Kushabikia udini ni kama timu inayocheza 4-4-2 na barca. Wanao
jua soka wanaelea nachosema. Madhara yake ni makubwa kwetu jamani
 
Huyu Jamaa kwa CHUKI NA WIVU kwa Wakristo ni wa kumvutia Pumzi. Ipo siku watamfanyia kama Yule Sheikh Yasin wa Palestina.
 
Yaani nyie ndo matango kweli wewe ndo sio mtanzania na kardinal pengo wako.Hata huyu mlie mzika mara kumi kumi nae tumepata habari zake ni mrwanda mbavu kabisa.Go ponda will always behind you.

Askofu Pengo ameingiaje kwenye mada?

Huu ndio utaahira wa watu fulani. Na ndio maana hata juzi walienda kuchoma moto makanisa kwa ishu ambayo haikuwa baina yao na kanisa. Mi nasaha zangu kwa Watanzania wenzangu ni kupenda kusoma.

Mnapoongozwa na watu wasio na elimu na nguvu ya ufahamu, uwezo wenu wa kuamua mambo unakuwa limited kwa yale mliolishwa. Ndio maana jamii zenu zinakuwa na mambo ya ushirikina kwa sababu hizi hizi za kukosa tafakari na reasoning. Ukipiga tu chafya, basi kuna mtu anakusema, bila kuzingatia kuna mgeni kaingia na marashi makali.

Mnapokuwa na akili za namna hii mnakuwa mzigo kwa jamii.
 
Askofu Pengo ameingiaje kwenye mada?

Huu ndio utaahira wa watu fulani. Na ndio maana hata juzi walienda kuchoma moto makanisa kwa ishu ambayo haikuwa baina yao na kanisa. Mi nasaha zangu kwa Watanzania wenzangu ni kupenda kusoma.

Mnapoongozwa na watu wasio na elimu na nguvu ya ufahamu, uwezo wenu wa kuamua mambo unakuwa limited kwa yale mliolishwa. Ndio maana jamii zenu zinakuwa na mambo ya ushirikina kwa sababu hizi hizi za kukosa tafakari na reasoning. Ukipiga tu chafya, basi kuna mtu anakusema, bila kuzingatia kuna mgeni kaingia na marashi makali.

Mnapokuwa na akili za namna hii mnakuwa mzigo kwa jamii.

knowledge is power.
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.


Ndugu yangu mtoa mada, unachotakiwa kujuwa kuhusu Uislamu ni kwamba WAISLAMU HUWA HAWATENGANISHWI KWA MIPAKA YA KISIASA KAMA VILE UGANDA, KENYA, TZ, BURUNDI etc. WAISLAMU WOTE NI UMMAH MMOJA NA NI NDUGU BILA KUJALI KWAMBA AMETOKEA SYRIA, OMAN, MTWARA AU TARIME.
Lakini pia sifa mwanamume mwenye kujiamini na asiye na chembe za kinafiki hapaswi kuzungukazunguka. Kama kweli una uhakika ni hicho unachokisema kuhusu Sheikh Ponda basi kiweke hadharani ili kila mtu akijue, otherwise wewe ni mnafiki tena NDUMILAKUWILI unataka kugombanisha watu ilhali sifa hiyo haipendezi kwa mwanaume.
 
wengi wanaomchukia sheikh Ponda either ni BAKWATA Au waumini wa kikiristo. sababu iko wazi. maslahi yao wanaona yanaporomoka
 
mtoa mada ni muongo na mzandiki, kama angekua na nia nzuri na nchi hii kwanini asiwataje hao watu hili kurahisisha kazi..............kawadanganye watu wa facebook na twitter lakini sio humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom