Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
Kama ni yako c ungemwambia mkeo ndan y umeyapost huku?we pia n tatzo umelenga kujikuza kisiasa zaidi,kuweka lawama kwa serkal n kushindwa kutumia ubongo wako kufikiri,kama waislam walioweng wapo chin ya bakwata utawalazmishaje hao wachache wasioiamin BAKWATA nawao wawe wafuasi wawe kitu kimoja?Kitu usichokifaham hapa n harakat Binafsi za Ponda na n mtu mwenye Mwoneleo upi,Nimesikitika sana kuona watetea afu na kuingiza siasa ndan ili uonekane upo kati mwisho ukakaataa kutohusishwa kwa chama chako,poor u
 
Huo ujinga wenu tumeshauzoea. Hivi ulitaka Ponda akamatwe kwa lipi? Mimi sio kuwa naunga mkono kila harakati ya Ponda. Ila naumia kwakuwa ni muislamu/binadamu mwenzangu. Iweje mwenzako ameumia huku unatangaza bora angeuliwa,mara unasema unaenda baa kula kitimoto?.
Akamatwe kwa uchochezi au husikia serekali ya Zenj inamtafuta kwa uchochezi,binadam hatufanani hata angekuwa Askofu wapo ambao wangesema hivyo ila wewe unahukumu chadema wakati haohao ccm walinuia kumua,tumia akil kufikiri,nilidhan ungewashauri wajiunge Cuf nashangaa unawatumbukiza wenzako kwenye mdomo wa mamba...
 
Mijitu ya namna hii ni migumu kufa.....Tabia zake za uchochezi zinanikera sana jana nilishangilia nikijua police walishamaliza kazi kumbe nao ni Bungila tu au hawakuahidiwa dau nono?

Mkuu hutakiwi kushangilia kwani kitendo walichofanya polisi ni zaidi ya Unyama,mimi si muumini wa Ponda na vilevile sipendelei harakati zake lakini bado ni binadamu!!! ana haki ya kujitetea na kujieleza kama binadamu wengine!! Tunatakiwa kushangilia siku Dictator Kikwete anasimama The hague
 
Ni YEHOVA Mungu wa wote wenye mwili, Mfalme wa wafalme.
Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Ibrahim. Muumbaji wa Ulimwengu alimtoa Kristo Mwana wake wa pekee ili aje atuokoe wenye dhambi mimi na wewe.

Zamani nilikuwa naamini kama wewe mpaka niliposoma Mathayo 15: 24-27. Yesu aliposema "sikutumwa kwa wowote ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". Na alipoombwa msaada na mwanamke ambaye hakuwa mu-israeli; yesu akamjibu kwenye mathayo 15: 26. "Si sawa kuuchukua mkate wa watoto wa israel na kuwatupia mbwa."
 
Nimesikitika sana baadhi ya post humu. Hatujui adui yetu ni nani. Hakika ninawaambia damu ya sheikh Ponda na wengine Kama Dr Ulimboka, Mwangosi, na wengi wanalioteswa na hii serikali dhalimu haitopotea bure. Watanzania tuwe pamoja kulaani haya bila kuweka itikadi, na dharau kwa dini nyingine. Inaonyesha mipango ya kuumuua sheikh Ponda Ina baraka za serikali. Siwezi shangaa kusikia Jakaya anakwenda mpa pole Sheikh Issa Ponda. Sana sana sheikh Ponda.


MoD pitieni hii thread kuna ujinga mwingi haustahili kuwepo JF

Ret Rev Masanilo
 
Vipi muulizeni ule mkakati wa kupinga vikundi vya ulinzi jwenye misikiti bado anaupinga? Au ameona umuhimu wake, Mungu amtendee kadri amavyostahiki
 
Mtatiro naye! Vp ule msiba uliotutangazia wa Mandela umefikia wapi? kwani Obama alishaondoka zamani....then ndiyo utuambie mambo ya PONDA
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom