Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
Bado ntaendelea kukuita Mr. upeo mdogo!
labda mimi nikufahamishe kitu kimoja, mungu katuumba kisha akatupa na akiri ya kuchanganua lipi baya lipi zuri, hivyo mimi sikuzaliwa muislam ila nimekuwa muislam baada kufanya utafiti baina ya dini zote na nikagundua kuwa uislam ndio njia sahihi na si dini nyingineyo. kumbuka hautakufa na babu au bibi yako na kila mtu atadhibiwa kulingana na madhambi yake. umeelewa sasa wewe kilaza.

Wewe umelewa dini,kiasi kwamba huna tofauti na wale wote wanaofikiri dini anayoamini ndio 'dini sahihi'!Umefanya utafiti gani kujua dini yako ni dini sahihi?Umewahi kumuona Mungu wako huyo anayekufundisha uwaite wengine vilaza?Angalia usije ukakuta Mungu wako ana pembe na ndio yule wengine wanamuita Shetani!I will never be part your God believer!
 
Nimesikitika sana baadhi ya post humu. Hatujui adui yetu ni nani. Hakika ninawaambia damu ya sheikh Ponda na wengine Kama Dr Ulimboka, Mwangosi, na wengi wanalioteswa na hii serikali dhalimu haitopotea bure. Watanzania tuwe pamoja kulaani haya bila kuweka itikadi, na dharau kwa dini nyingine. Inaonyesha mipango ya kuumuua sheikh Ponda Ina baraka za serikali. Siwezi shangaa kusikia Jakaya anakwenda mpa pole Sheikh Issa Ponda. Sana sana sheikh Ponda.

MoD pitieni hii thread kuna ujinga mwingi haustahili kuwepo JF

Ret Rev Masanilo

wanaopigwa ban siyo kila mtu hao uliowaona wakikejeri kupigwa kwa ponda, post zao huwa mods hawazisomi jaribu wewe siku saba zinakuhusu...
 
Bwana mtatiro wewe ni mnafiki sana! Na ninakuhakikishia kwamba ukiendelea na unafiki huu walah! Huta kaa upate nafasi ya si tu ubunge bali hata udiwani utausikia kwenye bomba.

Hivi hizi haki unazosema wananyimwa ni zipi hasa??! Za kuwa na mahakama ya kadhi? Kujiunga na umoja wa waarabu ama ni zipi hasa? Kama unajua haki hizo wanazonyimwa utuambie basi na sisi tuzijue!!

Huyu jamaa ni mchochezi tu, hakuna cha haki wala nn, na mimi naiomba serikali iendelee kuwashibiti kikamilifu watu kama hawa, tena ikibidi wauwawe tu, better to kill one to serve a million-
 
tuache masihala tanzania sasa si eneo salama kwa maisha ya mwanadamu

soma hii habari utaelewa tanzania inaelekea wapi ??

Joseph Mihangwa

Toleo la 310
7 Aug 2013

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, pamoja na mambo mengine nilihoji sababu na mantiki ya nchi yetu kupendwa ghafla na mataifa makubwa na kuwa kitovu cha ziara za mataifa hayo.

Nilihoji ni kipi cha kusifia, kwa viongozi wetu kujipeleka kwa mataifa mumiani kwa hiari? Je, ni kuomba misaada au kupikwa wakapikika kwa mtazamo wa nchi za Magharibi na utandawazi? Kama ilivyokuwa kwa wasomi wetu wa enzi za ukoloni walivyogeuzwa kiakili kuitika kwa ukoloni, ndivyo vivyo hivyo wasomi na viongozi wa leo wanavyoelekea kutekwa kiakili na Mashirika mumiani ya Kimataifa na Serikali zake.

Rais wetu, Jakaya Kikwete, alikuwa Rais wa kwanza wa Kiafrika kumtembelea Rais Obama mara tu baada ya (Obama) kuingia madarakani. Maudhui na mkao ndani ya ofisi ile ya mviringo (Oval Office) ya Obama ulijieleza juu ya madhumuni yaliyofichika, ya Marekani “kuipenda” Tanzania (lakini watu wake haiwapendi) na nchi zingine za Kiafrika Karne hii.

Katika mazungumzo hayo, Obama alimtaka Rais Kikwete, naye akakubali, amsaidie kusuluhisha migogoro ya kisiasa Afrika. Tujiulize, Obama alimtaka Kikwete amsaidie kama nani kwa Afrika? Je, hao wawili hawakujua kwamba jukumu hili linaweza kufanywa na Umoja wa Afrika (AU) ambao moja ya majukumu yake ni hilo la usuluhishi na usalama?

Kama ombi hili lilikuwa kwa nia njema, kwa nini Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika wa wakati huo, Kanali Muamar Gaddafi hakushirikishwa? Na kwa nini miaka michache baadaye aliuawa kwa nguvu ya taifa hilo babe?

Mbali na marais Obama na Kikwete, alikuwepo Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, na Msaidizi wake anayeshughulikia mambo ya Afrika na jasusi mzoefu wa Kimataifa, Johannes Carson. Kipindi fulani wakati Rais mstaafu wa Kenya, Mwai Kibaki, na Waziri Mkuu wake, Raila Odinga wakizozana, ni Carson aliyewataka kumaliza mgogoro wao na kutishia kwamba Marekani ingetumia nguvu kama wasingefanya hivyo. Ya Kenya yalimhusu nini kama si ubabe wa kudharau juhudi za Waafrika kumaliza migogoro yao wao wenyewe?

Carson aliwahi kufundisha katika Shule ya Malangali, Iringa, miaka ya 1960, chini ya Mpango wa amani wa Kimarekani wa kujitolea (Peace Corps), na baadaye akapanda cheo kuwa Balozi. Mpango wa Peace Corps, uliotiwa sahihi na Rais John F. Kennedy, Machi 1961, ulikuwa mkakati mahsusi wa Marekani kuziteka nchi za Afrika wakati huo wa vita baridi zisiangukie kambi ya Ukomunisti iliyoongozwa na Urusi.

Katika kikao hicho, alikuwapo pia Jenerali James Jones, Mshauri wa masuala ya Usalama katika kuhakikisha kwamba Rais Kikwete hakwepi kusudio la Marekani la kuweka vituo vya kijeshi nchini na kwingineko Afrika, chini ya Mpango wa AFRICOM.

Kwa kuanzisha vikosi vya AFRICOM sehemu nyingi za Dunia, Marekani inasukumwa na hofu ya vita kutoka mataifa yanayoibukia yenye nguvu za kijeshi na silaha kali, inayoyaita “korofi”, kama vile China, Korea Kaskazini, Urusi na Pakistani. Tayari imeweka kituo kikubwa cha kijeshi Ujerumani kujiandaa kwa shambulizi lolote kutoka mataifa hayo.

Wakati akianzisha mpango huo mwaka 2006, Rais George W. Bush alitaja madhumuni yake akisema: “Njia nzuri ya kuendeleza amani ni kutoa msimamo mpya jinsi vita ijayo itakavyopiganwa kwa masharti yetu. Kuanzia sasa, nchi nyingine itabidi ziamue kama ama ziko upande wa Marekani, ama zipo pamoja na (wadai haki) ugaidi”.

Kwa kushikana uswahiba na Marekani, tumekuwa upande wa nchi hiyo na walezi wa mkakati wa vita ijayo.

Mpango kama huo si wa kwanza kwa Marekani inapojiandaa kwa vita vya kibeberu. Mwaka 1950, ilibuni mpango ulioitwa “Harrow”, kama maandalizi ya kuishambulia Urusi kutoka vituo vya Karachi, Tripoli, Dhahran na Abu Sueir. Wakati wa vita ya Suez (Misri) mwaka 1956, Rais wa Marekani, Dwight Eisenhover, alitishia kuvitumia vituo hivyo kuishambulia Urusi na Iraq, kama Urusi ingeendelea kupandikiza fikra za Kikomunisti nchini Kuwait.

Onyo hili liliihusu pia China, kwani mwaka 1958, Rais huyo aliweka vituo vya ndege na mizinga ya kurushia makombora (missiles) katika Bahari ya Pacific kukilenga kisiwa kidogo machachari cha Quemoy. Na kama vita ya nuklia ingetokea mwaka huo, Marekani, chini ya mpango mwingine wa “Operation Dropshot”, ilikuwa iipige Urusi kwa makombora kutoka Kuwait na Aden.

Miaka ya 1960, “Pentagon” ilipanga kupiga mabomu 50 ya nuklia maeneo muhimu na viwanja vya ndege nchini Misri, Syria, Iran na Iraq kwa hofu ya kutumiwa na Urusi. Mkakati wa kivita wa AFRICOM ni historia kujirudia. Na kwa nchi ndogo kama Tanzania kujiingiza kichwa kichwa katika uswahiba na taifa la kibeberu, inahatarisha usalama wake.

Alikuwapo pia Larry Summers, mshauri wa uchumi na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Fedha wa Marekani. Aliingia kupigia filimbi wawekezaji wa Marekani na mashirika mumiani ya kimataifa yenye kutia ufukara nchi zetu “the Brettonwoods”, WTO na mengine yanayosimamiwa na Marekani.

Kuanzia miaka ya 1980, Marekani na Ulaya zimekuwa zikifanya kila njia kudidimiza uchumi wetu kupitia mashirika hayo. Mfumo wa “Bretton Woods” wenyewe, tangu uanzishwe mwaka 1945 umekuwa chanzo cha utajiri wa nchi za Magharibi kwa kunyonya nchi masikini. Kwa miaka ya 2000 pekee, inakadiriwa kuwa, ukwapuaji mali kutoka nchi masikini ulifikia dola za Marekani bilioni 400 kwa mwaka, au dola milioni 46 kwa saa na kwa Afrika pekee, ilikuwa dola milioni 400 kwa siku.

Kama nchi za Magharibi zilipata mtaji wa maendeleo kwa gharama na jasho la Afrika na makoloni mengine; na Urusi kwa gharama na jasho la wakulima wake na makoloni ya Asia, Afrika itamnyonya nani kuweza kupata mtaji wa maendeleo, kama kweli mfano wa nchi hizo ni wa kuigwa?

Soko la Dunia, linalodhibitiwa na Marekani kupitia WTO linatufukarisha; tunauza kingi, lakini tunapokea kiduchu kisicholingana na jasho letu kwa kunyonywa. Hapa nyumbani, tunaona “shughuli za kiuchumi” nyingi zikiendelea na majengo makubwa na marefu yakiinuka (kuiga New York?) kutupa picha potofu ya “maendeleo”, lakini kiukweli wananchi ni masikini, na wanazidi kufukarika kuliko ilivyokuwa kabla ya Uhuru, huku wachache wakizidi kuneemeka. Jamii kama hii tuliyomo, haiwezi kujenga uchumi wa kitaifa wala kuitwa ya kidemokrasia.

Chini ya mfumo na mfano potofu wa “maendeleo” kama huu, tusitarajie amani na utulivu kushamiri. Na pale inapotokea wananchi kudai haki yao wanayoporwa, kwa nini waitwe “magaidi” na kutungiwa sheria kali kuwafanya wasithubutu kuinua mkono wala kupanua kinywa? Ni nani kalihonga Bunge letu kukubali kutunga sheria ya kibeberu kama hii? Kwa mzaha huu, hakika, tunakaribisha ya Tunisia na Misri kutokea wakati ukiwadia.

Kwa hiyo, wakati Jenerali Jones aliwakilisha mikakati ya kivita kupitia AFRICOM ili kulinda wawekezaji na maslahi ya Marekani, hofu ya Summers ilikuwa kuhusu Wachina kuzidi kuwekeza kwenye sekta ya madini nchini Congo kwa mikataba nafuu yenye maslahi kwa nchi mwenyeji, ikilinganishwa na mikataba ya kinyonyaji kama ya Barrick na mingine.

Kama ilivyosemwa enzi za ukoloni mkongwe, kwamba bendera hufuata biashara, kwa maana kwamba dola ya Taifa (kubwa) hutumika kulinda wawekezaji (wafanyabiashara) wake kwenye makoloni; ndivyo historia inavyoelekea kujirudia hapa kwetu.

Kwa nchi yetu ambamo watu kama kina George W. Bush, Dick Cheyne na Andrew Young wamewekeza katika migodi kwa mikataba iliyotiwa sahihi hotelini, na mikataba ya uvunaji uranium na mafuta ambayo umma umefichwa; tuna hakika gani siku moja Marekani haitatuvamia kulinda wawekezaji wake, tutakapochachamaa kutaka kiwango cha mrahaba kiongezwe na mikataba yote ipitiwe upya kwa manufaa ya umma?

Kwa jinsi hii, tumegeuzwa taifa la ukoloni mamboleo (neo-colonial state) la kuitwa na kuitika “shikamoo” kwa mwangwi wa ubeberu wa kimataifa. Na utamaduni huu si kwa nchi yetu pekee, bali ni karibu kwa nchi zote za Afrika kwa viwango tofauti; lakini sisi huenda tunataka kuzidi.

Kuna “heshima” mpya ya kuibukia na ya hatari kwa nchi zetu, ya kuombaomba na kujipendekeza kwa mataifa makubwa kwa lengo la kuhurumiwa. Mwalimu Nyerere aliifananisha tabia hii na malaya anayetembea kwa madaha bila aibu, akijivunia koti la sufi alilohongwa na hawara yake.

Kiukweli, tabaka la watawala wa ki-ukoloni mamboleo linaweza kufananishwa na kuwadi anayeweza kumshikilia mama yake (nchi) ili aweze kubakwa na wageni, kisha kuwadi huyo achekelee na kushangilia kwa ukelele akisema: “Tazama fedha ing’arayo niliyopata kwa kazi nzuri niliyofanya kwa ufanisi na uadilifu mkubwa, katika kubembeleza misaada niliyopata; nani mwingine kama mimi?”

Tabaka hili la watawala, kama alivyosema Franz Fanon; “limegubikwa na utashi wa kudumu usiotibika wa kujitambua kama sehemu ya utamaduni wa kibeberu”. Ni la mawakala wa ubepari na ubeberu wa kimataifa, kwa kifupi bwanyenye vibaraka. Kiuchumi ni la kinyonyaji mithili ya kupe na la kinyapara linalolipwa vyema kusimamia matakwa ya kiuchumi ya kigeni.

Utegemezi kiuchumi na kisiasa wa tabaka hili unathibitishwa na utamaduni wake wa kuigiza mambo ya New York, Los Angeles na London. Linaagiza suti moja kwa moja kutoka Harrods, London, au haute couturekutoka Paris; linanunua makasiri na mashamba nje ya nchi na hata kumiliki akaunti nono za benki huko bila hofu ya kuwajibishwa na umma. Linasomesha watoto wake kwenye shule za gharama nje ya nchi, huku nyumbani watoto wa mafukara wakikalia matofali kwenye shule hafifu, maarufu kama “Yebo Yebo”. Yeyote anayethubutu kuinua kidole, huchukuliwa kama mpinzani na adui wa umma, na mara nyingi huzushiwa jambo au kukamatwa kwa sababu limeishika dola.

Katika nchi ya ukoloni mamboleo, Bunge hudhibitiwa kwa maelekezo ya Chama tawala; vyama vya upinzani na wapinzani huhesabiwa kama raia daraja la tatu.

Kwa nchi ya aina hii, kitendo cha kubambikizia tuhuma na kesi, au kuagiza vyombo vya dola kupiga watu na hata kuua “wasiotii” amri halali na batili za vyombo hivyo, kunyanyasa wasomi endelevu na wanaharakati; ni ishara ya kukiri kugundulika na kuanikwa kwa uongo na ulaghai wake kwa umma, uliofichika ndani ya suti ya vipande vitatu, mikufu ya dhahabu, propaganda, tabasamu la plastiki na misaada ya fedha chafu kwa wahitaji, na kwa watoto wagombeao mabaki jalalani, hali itokanayo na ufisadi wa hao hao wanaojiita Viongozi.

Wananchi wameanza kugundua kwamba, hiki kinachotolewa kama misaada na viongozi hao, ni jasho la wananchi waliloporwa pamoja na fedha chafu za wafadhili sio tu kwa ajili ya kuiweka nchi rehani kwa wenye mitaji, bali pia kutuingiza kwenye utamaduni wa “ombaomba” na utegemezi wa misaada yenye masharti hasi.

Tabaka hili linaishi kwa hofu kwamba leo na kesho wananchi wanaweza kusema “imetosha” na kuwashughulikia. Ni tabaka hili,na si wananchi, wanaokosa usingizi kwa hofu ya kugongewa milango usiku na wenyewe waliowaibia wakifuata chao walichoporwa.

Ni tabaka hilo la walio nacho na marafiki zao wa kigeni, linalotembea mitaani kwa hofu kila kona; nyumba zao, kama zilivyokuwa zile za masetla wa kikoloni kabla yao, ambao wameamua kuwaiga utamaduni wao, zimesheheni ulinzi wa silaha kutoka kampuni za kigeni kama Securicor la Uingereza, na Ossica la Uyahudi; ving’ora na nyaya hai za umeme, licha ya ulinzi wa “mbwa mkali” na morani wa kimasai.

Yote haya ni kwa sababu ya hofu dhidi ya wananchi wanaodai kuwaongoza ambao sasa hawana imani nao tena.

Ulinzi huu ni sambamba na ule wa vyombo vya Usalama kama polisi, ambao viongozi hao wameanza kuhofu kwamba siku moja polisi hao nao wanaweza kusema “imetosha, kwa kukumbuka kuwa wao pia ni wa asili ya tabaka la wakulima, wenye kulipwa mshahara kiduchu wa Yuda Iskariote kuwanyanyasa wananchi wa tabaka lao kulinda maslahi ya waporaji hao.

Kwa kujifanya wakarimu kwa mataifa na sera za Mashirika ya Kimataifa kama IMF na Benki ya Dunia kupita kiasi na bila ya kufikiri, tunauza uhuru wetu; misaada, mikopo na uwekezaji hasidi wa taasisi hizi unatupora mamlaka na sauti yetu katika uchumi wa taifa, na kufungua njia ya ukoloni mpya kwetu.

Ni uzalendo pekee utakaoiokoa nchi, na kwa viongozi wetu kusimamia, kulinda na kutetea rasilimali za taifa kwa manufaa ya umma wote; na kwamba watu, kwa maana ya wananchi wote, wawe ndio lengo kuu la sera za maendeleo ya taifa.

Kama alivyodai ndege “Eneke” wa Hayati Chinua Achebe katika “Things Fall Apart” (Msambaratiko) kwamba, “Tangu watu wamejifunza kupiga mshale bila kukosa shabaha, nimejifunza kuruka bila kutua”; ndivyo nchi zetu zinataka viongozi werevu na wenye upeo wa kuruka bila kutua kwenye mishale hatari yenye sumu, inayoelekezwa kwetu na maadui wanaokuja kwa jina la ushirikiano mwema.
 
attachment.php
 
Attachments

  • IMG-20130811-WA0006.jpg
    IMG-20130811-WA0006.jpg
    44.3 KB · Views: 18,284
Last edited by a moderator:
Yule polisi atakuwa nae ni mfuasi wake kwani alikosea shabaha ningelikuwa ni mimi ningeliweka mguu mmoja mbele AK47 kile chuma naweka upande wa bega, nakata pumzi, nafunga jicho moja naoanisha na target(kale kachuma ka mbele) nafungua usalama napiga.

Masanilo ona mwingine huyu hawa ninawasiwasi nao wametumwa kuanze kushambuliana kwa imani zetu..kumbe shetani yetu ni CCM
 
Last edited by a moderator:
Duh!.......pole sana sheikh,Mungu akujalie afya njema ila nakushauri ukae chini na bakwata muelewane kwapamoja munaweza kufikia kile unachoona waislam wananyimwa na serikali,ukiwa peke yako naona kama unaonekana mleta fujo.
 
acha afie mbali hana adabu huyu pimbi. dini aiendeshwi kwa mtindo aliouanzisha yeye kuchochea watu wavamie makanisa,anaamasisha watu waingie mtaani kwa mapanga na mashoka ili wafanye fujo.Huyu sio kiongozi wa dini anaigiza mambo ya Somalia. Afahamu hii ni Tanzania na ni nchi ya wastarabu,kama anaweza kutafuta nchi nyingine ni. bora aondoke mapema vinginevyo RISASI ZITATUA MWILINI MWAKE KILA SIKU.
 
That which will not Kill Sheikh Ponda,will just make him Stronger..!
Stil keeping our goddamned eyes open,never shall we gona blink upon this,Continuation of Mwembechai we can say..

CCM & BAKWATA ama zetu ama zenu...
 
...get well soon shehe urudi nyumbani kwa mkeo baba...wakristo tunakuombea japo mnatuita makafiri but tumefundishwa kuwapenda watu wote na kuwaombea wanaotuudhi....
 
Masanilo ona mwingine huyu hawa ninawasiwasi nao wametumwa kuanze kushambuliana kwa imani zetu..kumbe shetani yetu ni CCM

NA CCM HATA MFANYE KITU GANI HAIWEZI KUONDOKA MADARAKANI KWANI IMEWEKWA HIYO , LABDA VYAMA VYENGINE VIKUBALI KUIUZA NCHI ZAIDI

SOMA HAYA MAKALA

soma hii habari utaelewa tanzania inaelekea wapi ??

Joseph Mihangwa

Toleo la 310
7 Aug 2013

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, pamoja na mambo mengine nilihoji sababu na mantiki ya nchi yetu kupendwa ghafla na mataifa makubwa na kuwa kitovu cha ziara za mataifa hayo.

Nilihoji ni kipi cha kusifia, kwa viongozi wetu kujipeleka kwa mataifa mumiani kwa hiari? Je, ni kuomba misaada au kupikwa wakapikika kwa mtazamo wa nchi za Magharibi na utandawazi? Kama ilivyokuwa kwa wasomi wetu wa enzi za ukoloni walivyogeuzwa kiakili kuitika kwa ukoloni, ndivyo vivyo hivyo wasomi na viongozi wa leo wanavyoelekea kutekwa kiakili na Mashirika mumiani ya Kimataifa na Serikali zake.

Rais wetu, Jakaya Kikwete, alikuwa Rais wa kwanza wa Kiafrika kumtembelea Rais Obama mara tu baada ya (Obama) kuingia madarakani. Maudhui na mkao ndani ya ofisi ile ya mviringo (Oval Office) ya Obama ulijieleza juu ya madhumuni yaliyofichika, ya Marekani "kuipenda" Tanzania (lakini watu wake haiwapendi) na nchi zingine za Kiafrika Karne hii.

Katika mazungumzo hayo, Obama alimtaka Rais Kikwete, naye akakubali, amsaidie kusuluhisha migogoro ya kisiasa Afrika. Tujiulize, Obama alimtaka Kikwete amsaidie kama nani kwa Afrika? Je, hao wawili hawakujua kwamba jukumu hili linaweza kufanywa na Umoja wa Afrika (AU) ambao moja ya majukumu yake ni hilo la usuluhishi na usalama?

Kama ombi hili lilikuwa kwa nia njema, kwa nini Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika wa wakati huo, Kanali Muamar Gaddafi hakushirikishwa? Na kwa nini miaka michache baadaye aliuawa kwa nguvu ya taifa hilo babe?

Mbali na marais Obama na Kikwete, alikuwepo Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton, na Msaidizi wake anayeshughulikia mambo ya Afrika na jasusi mzoefu wa Kimataifa, Johannes Carson. Kipindi fulani wakati Rais mstaafu wa Kenya, Mwai Kibaki, na Waziri Mkuu wake, Raila Odinga wakizozana, ni Carson aliyewataka kumaliza mgogoro wao na kutishia kwamba Marekani ingetumia nguvu kama wasingefanya hivyo. Ya Kenya yalimhusu nini kama si ubabe wa kudharau juhudi za Waafrika kumaliza migogoro yao wao wenyewe?

Carson aliwahi kufundisha katika Shule ya Malangali, Iringa, miaka ya 1960, chini ya Mpango wa amani wa Kimarekani wa kujitolea (Peace Corps), na baadaye akapanda cheo kuwa Balozi. Mpango wa Peace Corps, uliotiwa sahihi na Rais John F. Kennedy, Machi 1961, ulikuwa mkakati mahsusi wa Marekani kuziteka nchi za Afrika wakati huo wa vita baridi zisiangukie kambi ya Ukomunisti iliyoongozwa na Urusi.

Katika kikao hicho, alikuwapo pia Jenerali James Jones, Mshauri wa masuala ya Usalama katika kuhakikisha kwamba Rais Kikwete hakwepi kusudio la Marekani la kuweka vituo vya kijeshi nchini na kwingineko Afrika, chini ya Mpango wa AFRICOM.

Kwa kuanzisha vikosi vya AFRICOM sehemu nyingi za Dunia, Marekani inasukumwa na hofu ya vita kutoka mataifa yanayoibukia yenye nguvu za kijeshi na silaha kali, inayoyaita "korofi", kama vile China, Korea Kaskazini, Urusi na Pakistani. Tayari imeweka kituo kikubwa cha kijeshi Ujerumani kujiandaa kwa shambulizi lolote kutoka mataifa hayo.

Wakati akianzisha mpango huo mwaka 2006, Rais George W. Bush alitaja madhumuni yake akisema: "Njia nzuri ya kuendeleza amani ni kutoa msimamo mpya jinsi vita ijayo itakavyopiganwa kwa masharti yetu. Kuanzia sasa, nchi nyingine itabidi ziamue kama ama ziko upande wa Marekani, ama zipo pamoja na (wadai haki) ugaidi".

Kwa kushikana uswahiba na Marekani, tumekuwa upande wa nchi hiyo na walezi wa mkakati wa vita ijayo.

Mpango kama huo si wa kwanza kwa Marekani inapojiandaa kwa vita vya kibeberu. Mwaka 1950, ilibuni mpango ulioitwa "Harrow", kama maandalizi ya kuishambulia Urusi kutoka vituo vya Karachi, Tripoli, Dhahran na Abu Sueir. Wakati wa vita ya Suez (Misri) mwaka 1956, Rais wa Marekani, Dwight Eisenhover, alitishia kuvitumia vituo hivyo kuishambulia Urusi na Iraq, kama Urusi ingeendelea kupandikiza fikra za Kikomunisti nchini Kuwait.

Onyo hili liliihusu pia China, kwani mwaka 1958, Rais huyo aliweka vituo vya ndege na mizinga ya kurushia makombora (missiles) katika Bahari ya Pacific kukilenga kisiwa kidogo machachari cha Quemoy. Na kama vita ya nuklia ingetokea mwaka huo, Marekani, chini ya mpango mwingine wa "Operation Dropshot", ilikuwa iipige Urusi kwa makombora kutoka Kuwait na Aden.

Miaka ya 1960, "Pentagon" ilipanga kupiga mabomu 50 ya nuklia maeneo muhimu na viwanja vya ndege nchini Misri, Syria, Iran na Iraq kwa hofu ya kutumiwa na Urusi. Mkakati wa kivita wa AFRICOM ni historia kujirudia. Na kwa nchi ndogo kama Tanzania kujiingiza kichwa kichwa katika uswahiba na taifa la kibeberu, inahatarisha usalama wake.

Alikuwapo pia Larry Summers, mshauri wa uchumi na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Fedha wa Marekani. Aliingia kupigia filimbi wawekezaji wa Marekani na mashirika mumiani ya kimataifa yenye kutia ufukara nchi zetu "the Brettonwoods", WTO na mengine yanayosimamiwa na Marekani.

Kuanzia miaka ya 1980, Marekani na Ulaya zimekuwa zikifanya kila njia kudidimiza uchumi wetu kupitia mashirika hayo. Mfumo wa "Bretton Woods" wenyewe, tangu uanzishwe mwaka 1945 umekuwa chanzo cha utajiri wa nchi za Magharibi kwa kunyonya nchi masikini. Kwa miaka ya 2000 pekee, inakadiriwa kuwa, ukwapuaji mali kutoka nchi masikini ulifikia dola za Marekani bilioni 400 kwa mwaka, au dola milioni 46 kwa saa na kwa Afrika pekee, ilikuwa dola milioni 400 kwa siku.

Kama nchi za Magharibi zilipata mtaji wa maendeleo kwa gharama na jasho la Afrika na makoloni mengine; na Urusi kwa gharama na jasho la wakulima wake na makoloni ya Asia, Afrika itamnyonya nani kuweza kupata mtaji wa maendeleo, kama kweli mfano wa nchi hizo ni wa kuigwa?

Soko la Dunia, linalodhibitiwa na Marekani kupitia WTO linatufukarisha; tunauza kingi, lakini tunapokea kiduchu kisicholingana na jasho letu kwa kunyonywa. Hapa nyumbani, tunaona "shughuli za kiuchumi" nyingi zikiendelea na majengo makubwa na marefu yakiinuka (kuiga New York?) kutupa picha potofu ya "maendeleo", lakini kiukweli wananchi ni masikini, na wanazidi kufukarika kuliko ilivyokuwa kabla ya Uhuru, huku wachache wakizidi kuneemeka. Jamii kama hii tuliyomo, haiwezi kujenga uchumi wa kitaifa wala kuitwa ya kidemokrasia.

Chini ya mfumo na mfano potofu wa "maendeleo" kama huu, tusitarajie amani na utulivu kushamiri. Na pale inapotokea wananchi kudai haki yao wanayoporwa, kwa nini waitwe "magaidi" na kutungiwa sheria kali kuwafanya wasithubutu kuinua mkono wala kupanua kinywa? Ni nani kalihonga Bunge letu kukubali kutunga sheria ya kibeberu kama hii? Kwa mzaha huu, hakika, tunakaribisha ya Tunisia na Misri kutokea wakati ukiwadia.

Kwa hiyo, wakati Jenerali Jones aliwakilisha mikakati ya kivita kupitia AFRICOM ili kulinda wawekezaji na maslahi ya Marekani, hofu ya Summers ilikuwa kuhusu Wachina kuzidi kuwekeza kwenye sekta ya madini nchini Congo kwa mikataba nafuu yenye maslahi kwa nchi mwenyeji, ikilinganishwa na mikataba ya kinyonyaji kama ya Barrick na mingine.

Kama ilivyosemwa enzi za ukoloni mkongwe, kwamba bendera hufuata biashara, kwa maana kwamba dola ya Taifa (kubwa) hutumika kulinda wawekezaji (wafanyabiashara) wake kwenye makoloni; ndivyo historia inavyoelekea kujirudia hapa kwetu.

Kwa nchi yetu ambamo watu kama kina George W. Bush, Dick Cheyne na Andrew Young wamewekeza katika migodi kwa mikataba iliyotiwa sahihi hotelini, na mikataba ya uvunaji uranium na mafuta ambayo umma umefichwa; tuna hakika gani siku moja Marekani haitatuvamia kulinda wawekezaji wake, tutakapochachamaa kutaka kiwango cha mrahaba kiongezwe na mikataba yote ipitiwe upya kwa manufaa ya umma?

Kwa jinsi hii, tumegeuzwa taifa la ukoloni mamboleo (neo-colonial state) la kuitwa na kuitika "shikamoo" kwa mwangwi wa ubeberu wa kimataifa. Na utamaduni huu si kwa nchi yetu pekee, bali ni karibu kwa nchi zote za Afrika kwa viwango tofauti; lakini sisi huenda tunataka kuzidi.

Kuna "heshima" mpya ya kuibukia na ya hatari kwa nchi zetu, ya kuombaomba na kujipendekeza kwa mataifa makubwa kwa lengo la kuhurumiwa. Mwalimu Nyerere aliifananisha tabia hii na malaya anayetembea kwa madaha bila aibu, akijivunia koti la sufi alilohongwa na hawara yake.

Kiukweli, tabaka la watawala wa ki-ukoloni mamboleo linaweza kufananishwa na kuwadi anayeweza kumshikilia mama yake (nchi) ili aweze kubakwa na wageni, kisha kuwadi huyo achekelee na kushangilia kwa ukelele akisema: "Tazama fedha ing'arayo niliyopata kwa kazi nzuri niliyofanya kwa ufanisi na uadilifu mkubwa, katika kubembeleza misaada niliyopata; nani mwingine kama mimi?"

Tabaka hili la watawala, kama alivyosema Franz Fanon; "limegubikwa na utashi wa kudumu usiotibika wa kujitambua kama sehemu ya utamaduni wa kibeberu". Ni la mawakala wa ubepari na ubeberu wa kimataifa, kwa kifupi bwanyenye vibaraka. Kiuchumi ni la kinyonyaji mithili ya kupe na la kinyapara linalolipwa vyema kusimamia matakwa ya kiuchumi ya kigeni.

Utegemezi kiuchumi na kisiasa wa tabaka hili unathibitishwa na utamaduni wake wa kuigiza mambo ya New York, Los Angeles na London. Linaagiza suti moja kwa moja kutoka Harrods, London, au haute couturekutoka Paris; linanunua makasiri na mashamba nje ya nchi na hata kumiliki akaunti nono za benki huko bila hofu ya kuwajibishwa na umma. Linasomesha watoto wake kwenye shule za gharama nje ya nchi, huku nyumbani watoto wa mafukara wakikalia matofali kwenye shule hafifu, maarufu kama "Yebo Yebo". Yeyote anayethubutu kuinua kidole, huchukuliwa kama mpinzani na adui wa umma, na mara nyingi huzushiwa jambo au kukamatwa kwa sababu limeishika dola.

Katika nchi ya ukoloni mamboleo, Bunge hudhibitiwa kwa maelekezo ya Chama tawala; vyama vya upinzani na wapinzani huhesabiwa kama raia daraja la tatu.

Kwa nchi ya aina hii, kitendo cha kubambikizia tuhuma na kesi, au kuagiza vyombo vya dola kupiga watu na hata kuua "wasiotii" amri halali na batili za vyombo hivyo, kunyanyasa wasomi endelevu na wanaharakati; ni ishara ya kukiri kugundulika na kuanikwa kwa uongo na ulaghai wake kwa umma, uliofichika ndani ya suti ya vipande vitatu, mikufu ya dhahabu, propaganda, tabasamu la plastiki na misaada ya fedha chafu kwa wahitaji, na kwa watoto wagombeao mabaki jalalani, hali itokanayo na ufisadi wa hao hao wanaojiita Viongozi.

Wananchi wameanza kugundua kwamba, hiki kinachotolewa kama misaada na viongozi hao, ni jasho la wananchi waliloporwa pamoja na fedha chafu za wafadhili sio tu kwa ajili ya kuiweka nchi rehani kwa wenye mitaji, bali pia kutuingiza kwenye utamaduni wa "ombaomba" na utegemezi wa misaada yenye masharti hasi.

Tabaka hili linaishi kwa hofu kwamba leo na kesho wananchi wanaweza kusema "imetosha" na kuwashughulikia. Ni tabaka hili,na si wananchi, wanaokosa usingizi kwa hofu ya kugongewa milango usiku na wenyewe waliowaibia wakifuata chao walichoporwa.

Ni tabaka hilo la walio nacho na marafiki zao wa kigeni, linalotembea mitaani kwa hofu kila kona; nyumba zao, kama zilivyokuwa zile za masetla wa kikoloni kabla yao, ambao wameamua kuwaiga utamaduni wao, zimesheheni ulinzi wa silaha kutoka kampuni za kigeni kama Securicor la Uingereza, na Ossica la Uyahudi; ving'ora na nyaya hai za umeme, licha ya ulinzi wa "mbwa mkali" na morani wa kimasai.

Yote haya ni kwa sababu ya hofu dhidi ya wananchi wanaodai kuwaongoza ambao sasa hawana imani nao tena.

Ulinzi huu ni sambamba na ule wa vyombo vya Usalama kama polisi, ambao viongozi hao wameanza kuhofu kwamba siku moja polisi hao nao wanaweza kusema "imetosha, kwa kukumbuka kuwa wao pia ni wa asili ya tabaka la wakulima, wenye kulipwa mshahara kiduchu wa Yuda Iskariote kuwanyanyasa wananchi wa tabaka lao kulinda maslahi ya waporaji hao.

Kwa kujifanya wakarimu kwa mataifa na sera za Mashirika ya Kimataifa kama IMF na Benki ya Dunia kupita kiasi na bila ya kufikiri, tunauza uhuru wetu; misaada, mikopo na uwekezaji hasidi wa taasisi hizi unatupora mamlaka na sauti yetu katika uchumi wa taifa, na kufungua njia ya ukoloni mpya kwetu.

Ni uzalendo pekee utakaoiokoa nchi, na kwa viongozi wetu kusimamia, kulinda na kutetea rasilimali za taifa kwa manufaa ya umma wote; na kwamba watu, kwa maana ya wananchi wote, wawe ndio lengo kuu la sera za maendeleo ya taifa.

Kama alivyodai ndege "Eneke" wa Hayati Chinua Achebe katika "Things Fall Apart" (Msambaratiko) kwamba, "Tangu watu wamejifunza kupiga mshale bila kukosa shabaha, nimejifunza kuruka bila kutua"; ndivyo nchi zetu zinataka viongozi werevu na wenye upeo wa kuruka bila kutua kwenye mishale hatari yenye sumu, inayoelekezwa kwetu na maadui wanaokuja kwa jina la ushirikiano mwema.
 
Waumini wakikristo walioko JF wangekua na huu mtizamo, ingesaidia sana kupunguza tatizo la chuki za kidini.

Hamna muumini mkristo mwenye mtazamo unaofikiria wewe, Biblia inafundisha kumpenda hata adui yako, kwa mkristo vocabulary adui hamna! labda ulikuwa hulijui hilo all we want ni haki si dhulma kama jinsi serikali hii inavyofanya! How! Muder plots sasa zinakuwa nyingi na kunakuwa hamna tofauti na serikali ya Idd Amini! Hii serikali ni ya NDULI!
 
Waumini wakikristo walioko JF wangekua na huu mtizamo, ingesaidia sana kupunguza tatizo la chuki za kidini.

Hebu tuambie sie wakristo wa Jf tunamitazamo gani.....? Kweli nyani haoni kundule.....kwa hiyo wakristo wa Jf ndio chanzo cha udini Tz ? Some one has to loose! Kiukweli mimi siwezi kuwa msemaji wa wakristo na kwakweli kitendo cha shekhe ponda kilaaniwe....pia walio uwawa Olasiti mtatiro wale hawakuwa watu? ulikuwa wapi usikemee....tuzungumze pia waliopigwa mabomu na risasi kwenye mikutano ya wapinzani(kwa maana ya watu sio maana ya CDM) Mtatiro ulikuwa wapi kaka? Kama huna majibu kauli yako ni ya kinafiki na kifalsafa haina mashiko maana inamaslahi ndani yake. Hebu waone wachambuzi kama Mzee Mwanakijiji wao huchambua mambo kwa kubalance na watu tunapata mawazo huru.Note, mi pia nalaani vikali kitendo cha Ponda kupigwa risasi
 
acha afie mbali hana adabu huyu pimbi. dini aiendeshwi kwa mtindo aliouanzisha yeye kuchochea watu wavamie makanisa,anaamasisha watu waingie mtaani kwa mapanga na mashoka ili wafanye fujo.Huyu sio kiongozi wa dini anaigiza mambo ya Somalia. Afahamu hii ni Tanzania na ni nchi ya wastarabu,kama anaweza kutafuta nchi nyingine ni. bora aondoke mapema vinginevyo RISASI ZITATUA MWILINI MWAKE KILA SIKU.

Acha chuki na jazba ndgu yangu. Akishapigwa risasi kila siku we binafsi utafaidika nini?? Kumbuka una familia siku akipigwa risasi Mkeo, mwano au mama/mkwe wako UTASEMA hayo hayo pia?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom