PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 36
Hii ni habari mbaya sana. Tumowombee apone. Amen.
nimemwelewa uzuri sana anajaribu kutuaminisha kwamba uwezpo wa ponda zanzibar ndio ulichochea wale ma bint kumwagiwa tindikali.. kwa maneno mengine yeye mwanakijiji anaamini ni waislam wa zanzibar ndio walimwagia wale mabint tindikali.. while bado haijathibitishwa hivyo na vyombo vya sheria ...
Kweli mkuu, wanafuta aibu kwa kupoteza uhai mtu. Hii ni kuwaridhisha mabwanyenye!
Maneno ya uchochezi hayo. Usipende kushabikia mambo ambayo hayana tija wa Taifa.
umeongea point kakaHabari hii ni kweli au ni uzushi? Kama ni kweli I think for the first tym nitakuwa against Mwema
Mbona mnatuchanganya? Kapigwa au Hajapigwa?
hii mbaya sana"Piga ua" Nimenukuu tu!
Pole sana Ponda....
Lakini kwa nini hawa watu wanataka kumuua huyu ndugu?
Acha unafiki wewe lini wewe na baadhi ya Pro-Chadema mlikuwa mnatakia heri Sheikh Ponda?
Ukitaka
kujua adui wa waislam ni MFUMO WA MACCM, Msome huyu kamanda yani sasa
hizi ni zaidi ya lisaa tokea Ponda apigwe lisasi na kila mtu anajua
jamaa yupo Hospitali mahututi, lakini yeye ni DOLA hajuhi kitu eti,
inawezekana hili?
Kama namuona vile CHAGONJA dili liningine la POSHO hilo MOROGORO kwenda
kufanya uchunguzi na kutangaza kapigwa na NCHA kali.
Ile tindikali waliomwagiwa wasichana wa Waingereza kule Zanzibar ambao ni followers wa Zion itawa-cost wengi,Never play with Israel,Mossad will hunt you down like dogs
Ni kwa sababu amekuwa hatari kwa ccm!!kwani hukuambiwa mkuu?
Mpigaji hana shabaha, hajafa tu!