Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.



nimemwelewa uzuri sana anajaribu kutuaminisha kwamba uwezpo wa ponda zanzibar ndio ulichochea wale ma bint kumwagiwa tindikali.. kwa maneno mengine yeye mwanakijiji anaamini ni waislam wa zanzibar ndio walimwagia wale mabint tindikali.. while bado haijathibitishwa hivyo na vyombo vya sheria ...

Ni lini vyombo vyako vya sheria vimethibitisha wahusika wa matukio mengine ya kihalifu kama hayo? Nilitumaini baada ya mfungo wa ramadhan utarudi na akili iliyotulia?
 
Kweli mkuu, wanafuta aibu kwa kupoteza uhai mtu. Hii ni kuwaridhisha mabwanyenye!

Sijawahi kuwaunga mkono polisi hata pale wanapowaua majambazi lakini kwa hili la ponda safi sana

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Ponda si mchochezi wala si mtu wa vurugu! Ponda ni mtu wa kutetea haki haswa haki ktk Imani Yake! Tunaelewa watetea haki siku zote hawatakiwi na hupewa majina mabaya Na yenye sifa zote! Ata Mzee Nelson Mandela katika harakati zake za uhuru na chama chake waliwahi kuitwa magaidi na kufungwa jela!
 
Ukitaka
kujua adui wa waislam ni MFUMO WA MACCM, Msome huyu kamanda yani sasa
hizi ni zaidi ya lisaa tokea Ponda apigwe lisasi na kila mtu anajua
jamaa yupo Hospitali mahututi, lakini yeye ni DOLA hajuhi kitu eti,
inawezekana hili?

Kama namuona vile CHAGONJA dili liningine la POSHO hilo MOROGORO kwenda
kufanya uchunguzi na kutangaza kapigwa na NCHA kali.

amelazwa hospitali gani?
 
Ile tindikali waliomwagiwa wasichana wa Waingereza kule Zanzibar ambao ni followers wa Zion itawa-cost wengi,Never play with Israel,Mossad will hunt you down like dogs

Well said Artorius! These guys wanacheza sana na maisha ya watu yenye thamani kubwa kwa mataifa yao. Mossad will hurt them down of course and this is just a beginning.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom