Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
Japo namchukia Issa Ponda sifurahii hata kidogo kama amepigwa risasi na polisi. Huyu mtu ilitosha kumuweka lupango kwani alipatikana na kosa la uchochezi ila dola ikamuachia na yeye kuendelea na kile asichoweza kuacha..."uchochezi wa kidini'

Tuwekane sawa mkuu,shehe ponda amefanya uchochezi wa kidini wa namna gani?
 
Habari hii ni kweli au ni uzushi? Kama ni kweli I think for the first tym nitakuwa against Mwema

kumbe mauwaji ya wafuasi wa chadema kwako ilikuwa poa tu au sio? Kuna mtu alisema wakiwamaliza wapinzani nan atafuata kati ya mm na wewe? So kusimamia ukweli daima ni muhimu...Pinda amechoka, mwema anatekeleza agizo la mchovu pinda wapigwe tu
 
Nilishasema tokea Asubuhi kuwa wale mabintiu ni WAYAHUDI, na kuanzia sasa PONDA na UAMSHO wajipange maana huko znz polisi wamewataja wao, kwahiyo MOSSAD's wakija wao ni KIMYA KIMYA TU!
Huwa hawapigi kelelel hatya siku moja, wao ni Vitendo.
Sawa kabisa wale vigoli na Wazungu wengine wameishi zanzibar bila hiyana lakini huyu jamaa huenda ndio aliyewachochea ndio maana POLISI na IGP Mwema watamkamata tu hata asubuhi haifiki
 
...nilihisi tu huyu jamaa lazima wamchape tu,naye kaingia kingi, na kaharibu zaidi alipotangaza anataka uraisi..ooooh my tanganyika...
yaani ponda awe rais kama wa Tanganyika naukana uraia wangu..
 
kwa usalama wa nchi Bora wasiiripoti kabisa, wafuasi wake wanamsimamo mkali sana tunaweza kuzua mengine.!
Usalama upi unaoufikiria kama itakuwa ni kweli sio tukio la kuficha kwani ni vizuri matukio yote ya uhalifu wanayoyafanya Polisi yatolewe taarifa na jamii ipate kujua udhalimu wao kuficha ni sawa na kuwafanya waendelee kutuua na kufanya huo ushenzi wao.
 
polisi kweli wanafiki mbna kila siku inasisitizwa kutojichukulia sheria mkononi lakini wao wanajichukulia sheria mikononi,,, sio case ya Ponda tu wangapi wameuawa mikononi mwa polisi tena wengine vituoni kabisa? KWA NINI NILIZALIWA TANZANIA MIMI? PTUUU

uchunguzi wangu haukubali polisi kuhusika na hili.ngoja nimalize jitihada zangu kisha ntarudi
 
Mbona tunaambiwa hakuna mtu hospitali na Ponda haeleweki aliko. Huu uzushi ngoja nisikilizie kwenye habar mida hii.

wakimpeleka hospital hasa ya serikali tuna kula ubwabwa, wale wasoweto unajua wengine mpaka leo hawajulikani walitibiwa wapi na wako wapi ni kwa usalama wao kwani walikuwa wanawindwa vibaya mno..
 
Ata nyie mtakufa tu,,.....au nyie wauaji mtaish milele?...mmekuja kuilinda dunia?.........NB Sh Ponda hajafa but he is in a critical condition,,....!!
 
Ndiyo tatizo la kuwakubalia watawala kufanya lolote. Tangu mabinti wa UK wamwagiwe acid jina LA Ponda limetajwa kuwa ndiye aliyesababisha.Polisi wamepewa kibali wabongo watakoma.

Ni nani aliyemtaja Ponda kuhusika? Kua makini na kauli zako kaka!
 
MWISHO WA TANZANIA UMEKARIBIA. MARK MY WORDS, NAIONA TANZANIA a.k.a Tanganyika ikigawanyika nchi ndogo zaiidi ya tano au kumi, kama hatua sahihi hazitachukuliwa dhidi ya dhulma kati ya jamii moja hadi nyingine.

Wewe ni MZIMU... period.
 
Last edited by a moderator:
Nimeangali taarifa ya habari ya TBC 1 nimeshindwa kuamini kama kweli hawana taarifa ya kilichotokea huko Morogoro.Hawajasema chochote kuhusu habari ya Ponda kupigwa risasi!

Hivi hiki ni chombo cha umma au ni chombo kinachomilikiwa na kikundi fulani cha watu kwa mgongo wa mali ya umma?

Je,mliongalia vituo vingine hii habari imeonyeshwa?

Kama haijaonyeshwa hata katika vituo vingine basi tafakari mwenyewe na utapata jibu!
 
Tuwekane sawa mkuu,shehe ponda amefanya uchochezi wa kidini wa namna gani?

Binafsi nashangaa sn hili. Kutetea Waislamu kuwa ni kwanini Bakwata watoe ekari 4 zilizopo mjini na kwenda kubadilisha na ekari kadhaa za kijijini ni uchochezi!!!!!. Kuwafungua Waislamu fikra zao ni uchochezi!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom