Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake.

"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi mbili mfululizo dhidi ya TRA na baadae dhidi ya Jwaneng nikaamua kumbetia mume wangu ambae pia ni shabiki wa Simba kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake, hapa nilipo kila nikimpigia simu mume wangu hapokei, najiandaa kurudi kijijini kwetu Songambele" alisikika Dada huyo.
 
"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi,nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi mbili mfululizo zidi ya TRA na baadae zidi ya Jwaneng nikaamu kumbetia mume wangu ambae pia ni shabiki wa Simba kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake,hapa nilipo kila nikimpigia simu mume wangu hapokei,najiandaa kurudi kijijini kwetu Songambele" alisikika Dada huyo.
Dah ndoa tamu sana hiyo
FB_IMG_1709896935336.jpg
 
Kuwa shabiki wa Simba raha sanaa... sasa dada wa lkazi anakua mke na mke anakua mchepuko mwenye mamlaka
 
Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake.

"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi mbili mfululizo dhidi ya TRA na baadae dhidi ya Jwaneng nikaamua kumbetia mume wangu ambae pia ni shabiki wa Simba kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake, hapa nilipo kila nikimpigia simu mume wangu hapokei, najiandaa kurudi kijijini kwetu Songambele" alisikika Dada huyo.
Nadhani nami huenda nikateuliwa maana uko huru sasa, naomba nikupe namba.
 
Back
Top Bottom