Erotica in action, lol! Ntakushauri tu...usihofu. wa kwako unamtegea wapi? maana kuna sehemu za kuweka mitego...
daah pole sana utaishia tu kumeza mate jamani... ngoja nimuombe Erotica anifundishe jinsi ya kufaidi uswiiti huo mieMmmh SMILE nimekula chumvi nyingi kweli na ningeweza kujitolea kuwa KUNGWI(KIUME) wa theory tu lakini,ila haiwezekana kwani uzee nao hata meno mdomoni yameisha so hata nyama isiyokuwa na mifupa siwezi tafuna,sadly
si kuna mstari unaitwa for beta for worse? nadhani kabla hujajitumbukiza lazima uhakikishe it is beta.
worse ikukute mbele kwa mbele. alafu wanasema love is selfless. kama una maradhi na unampenda
spouse wako ina mana unamruhusu akapate kile ambacho wewe huwezi kumpatia. unaonaje hili Kongosho?
ndio mana i want to mari for love. nipo kujifunza kupenda mtu mwengine kuliko ninavojipenda.
mimi napita tu kuonja tunda so kama vipi usinihesabu ..hapo vipi?Huwezi amini wote 29 nawakumbuka kwa mambo 29, hio inanifanya hata mimi nisijiamini na hii namba.
nahisi wapo hata wengi kuliko hapo. ila sabb walikuwa wabovu nikawasahau.
kikubwa nina 29 memoriz. hivo nahesabu 29. sasa Saint hapo tufanyeje?
Saint Ivuga badala ya kufuta omba uwe wa 30Erotica tufute mmoja ili wabaki 28 ..unasemaje?
Saint Ivuga badala ya kufuta omba uwe wa 30
Kwa hiyo hakuna tofauti na wakati wa uhawara? tofauti ni kuwa sasa mna haki mbele ya Mungu?