SEX in marriage. Kipi ni kipi?

Mmmh EROTICA wewe!Ningekuwa bado kijana walah ningepanda milima na mabonde nikuweke kwenye himaya yangu,sadly am TOOTHLESS GLUMP OLDMAN,te te te te.Nice thread though,i like it


ng'ombe azeeki maini atii. teh teh teh.
 
Erotica in action, lol! Ntakushauri tu...usihofu. wa kwako unamtegea wapi? maana kuna sehemu za kuweka mitego...

Ijumaa Rose garden....kuna karibu kila mtu pale....huko kwingine watu wanakaaa kunywa weee na kuongea vingereza vingi. Cha mno unaweza kuambulia kuongeza namba kwenda 30.I mean hivyo viwanja vyenu vya saizi ya kati na juu...
 
Sex katika ndoa ni tamu saaaana, tena hao waliokuambia uwe mpole wamekuzingua.... sex kwa ndoa ni kujiachia sana!
 
ahahaa wewe hujui KIKUNGU ... naitaji waalimu wengi Erotica hatoweza parti ya practical ..huyu ni wa theory tuu

Mmmh SMILE nimekula chumvi nyingi kweli na ningeweza kujitolea kuwa KUNGWI(KIUME) wa theory tu lakini,ila haiwezekana kwani uzee nao hata meno mdomoni yameisha so hata nyama isiyokuwa na mifupa siwezi tafuna,sadly
 
Mmmh SMILE nimekula chumvi nyingi kweli na ningeweza kujitolea kuwa KUNGWI(KIUME) wa theory tu lakini,ila haiwezekana kwani uzee nao hata meno mdomoni yameisha so hata nyama isiyokuwa na mifupa siwezi tafuna,sadly
daah pole sana utaishia tu kumeza mate jamani... ngoja nimuombe Erotica anifundishe jinsi ya kufaidi uswiiti huo mie
 
Last edited by a moderator:
Nitatumia resources zote nilizonazo hili lisitokee, i will give my all.

Labda aende huko nisijue kabisa, maana mie sitaenda hata ikikatwa au kushonwa na cherehani.

si kuna mstari unaitwa for beta for worse? nadhani kabla hujajitumbukiza lazima uhakikishe it is beta.

worse ikukute mbele kwa mbele. alafu wanasema love is selfless. kama una maradhi na unampenda

spouse wako ina mana unamruhusu akapate kile ambacho wewe huwezi kumpatia. unaonaje hili Kongosho?

ndio mana i want to mari for love. nipo kujifunza kupenda mtu mwengine kuliko ninavojipenda.
 
KARIBU UJIONEE erotikaMIMI NINA USHAURI MMJA TU NDOA SIO KAMA WATU WANAVYOSEMA ,UNAVYOSIKIA NA UNAVYONA WATU WANATENDEWA KILA SIKU

MIMI NINA IMANI GANI JUU YA NDOA ?
HUWA NAAMINI HIVI KILA MTU ANA JINSI ALIVYOUMBWA NA TABIA TOFAUTI KABISAA ,KWA HIYO KARTIKA MASHAURI YA NDOA MTU ASIKUSHAURI FANYA HIVI FANYA VILE UKAVIBEBA VIZIMA VIZIMA MTU MWINGINE AKIMFANYIE VILE MUME /MKE WAKE OH NIFURAHA KUBWA WENGINE SIO/
NINI LAKUZINGATIA ?
MSOME MWENZI WAKO UWANJA WAKE WAMAPENDELEO,KWA MAPANA ZAIDI ,ANAPENDA NINI ,HAPENDI NINI ,UWANJA WAKE WA NYUMBABI KW A UJUMLA hahahah utaenjoy wewe EROTIKA
 
Huwezi amini wote 29 nawakumbuka kwa mambo 29, hio inanifanya hata mimi nisijiamini na hii namba.

nahisi wapo hata wengi kuliko hapo. ila sabb walikuwa wabovu nikawasahau.

kikubwa nina 29 memoriz. hivo nahesabu 29. sasa Saint hapo tufanyeje?
mimi napita tu kuonja tunda so kama vipi usinihesabu ..hapo vipi?
 
sex katika ndoa,mwanzo mwanzo huwa nzuri,kila style mnapeana.ila baadae mmoja wapo huchoka.kama mke,utaishia kulala chali tu,mr aingize tena una muhimiza amalize ili uondoke.excitement inakuwa haipo tena,mna focus kwenye majukumu yenu tu,kwani ndoa sio sex peke yake.
 
ila nimebadili mawazo..mijitu 30 si mchezo. wakati kitu CUTE nilifungua mwenyewe kwenye box ya nini kufuata presha?
 
Last edited by a moderator:
yap ukizingatia kuwa mko huru zaidi.......
na unauhuru wa kuenjoy penzi la mwenzako kwa mapana zaidi.....
challenge unatakiwa uwe mbunifu zaidi...
manjonjo mapya zaidi.....




Kwa hiyo hakuna tofauti na wakati wa uhawara? tofauti ni kuwa sasa mna haki mbele ya Mungu?
 
Back
Top Bottom