SEX in marriage. Kipi ni kipi?

Erotica

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,513
1,735
Kama nilivosema nimeacha sex spesheli kabisa kwa kujiandaa kwa ndoa na mume ambae hadi
dakika hii sijampata. Hadi najihisi bk kabisaa. Of coz kuna promising kandidets, hivo bado nafanyia kazi.
Kuwatonya labda niseme shemeji yenu huyo naona atatoka hapa hapa jf. Raha iliojee?
niko kwenye mchakato wa kuweka mambo sawa, mambo yakijibu habari kwa mtindo wa news alert fasta!

Nikiwa najiandaa na ndoa ni mengi najifunza. Siku hizi wanandoa tunaiva kweli, wamekuwa
marafiki zangu wakubwa! nipo kama katika research flani hivi ya kuhakikisha najua najiingiza
kwenye nini na nini nitegemee. Kipengele cha kwanza kukifanyia utafiti ni sex in marriage.

Risechi yangu haijakaa vyema. Wote ninao wauliza wanasema wana a wandafu sex life hata
wale ambao nawafahamu wanacheat wake kwa waume! Nabaki na bumbuwazi Erotica mimi.
Kama SEX ipo wandafu kama madai yao kwa nini acheat, kwa mwanaume utasema
nature inamzingua (sentensi ambayo sinunui kwa bei yoyote, uzushi mtupu), mwanamke je nae
ni nature yamzingua? Hata mimi ambae nilikuwa nabadilsha kama nguo nilikuwa nikipata anayeweza dhibiti,
nakuwa kwa ajili yake tu na hapo wala hata hatuna promises zozote!

Then ktk risechi yangu dada zangu wengine wananiambia lazima uwe mpole, mnyenyekevu na mfuata
upepo dizaini unapo kuwa faragha na mume. Upole kwenye kiwanja? Naona kama mzaha vile!
Kwani kuna ubaya gani nikileta kile kichaa changu ninachokuwa nacho ninapokuwa na ny.ge na wakati pale nang.noka? Na kujiachia kimatendo na kistarehe kwa kujua nipo kula chakula cha roho na cha K? mie sielewi ati. :confused3:
Wanandoa eti sex katika marriage iko vipi? Inatakiwa iwe vipi?

Mwaaaaaah! Hata kama I feel lost!:peep:
 
sex kwenye marriage iko poa kabisa.....wala usisikilize watu....kila mtu ana ndoa yake.....
ila Ticah....umeniacha hoi hoi.....wandafu ndio nini......?
 
bora mamito, nimeanza kupata hop sasa. mana wewe huzinguagi.

si tuna miadi ya kukutana na kujirusha club? basi hapo nitakupa maana mamie.

sasa kwa mshangao mkubwa kwa nini watu wanaigiza saana?
 
Najua soon utakuja na thread nyingine ukisema watu wameshachukua tunda na kusepa..watch...bora unipe mapemma
 
Kama nilivosema nimeacha sex spesheli kabisa kwa kujiandaa kwa ndoa na mume ambae hadi
dakika hii sijampata. Hadi najihisi bk kabisaa. Of coz kuna promising kandidets, hivo bado nafanyia kazi.
Kuwatonya labda niseme shemeji yenu huyo naona atatoka hapa hapa jf. Raha iliojee?
niko kwenye mchakato wa kuweka mambo sawa, mambo yakijibu habari kwa mtindo wa news alert fasta!

Nikiwa najiandaa na ndoa ni mengi najifunza. Siku hizi wanandoa tunaiva kweli, wamekuwa
marafiki zangu wakubwa! nipo kama katika research flani hivi ya kuhakikisha najua najiingiza
kwenye nini na nini nitegemee. Kipengele cha kwanza kukifanyia utafiti ni sex in marriage.

Risechi yangu haijakaa vyema. Wote ninao wauliza wanasema wana a wandafu sex life hata
wale ambao nawafahamu wanacheat wake kwa waume! Nabaki na bumbuwazi Erotica mimi.
Kama SEX ipo wandafu kama madai yao kwa nini acheat, kwa mwanaume utasema
nature inamzingua (sentensi ambayo sinunui kwa bei yoyote, uzushi mtupu), mwanamke je nae
ni nature yamzingua? Hata mimi ambae nilikuwa nabadilsha kama nguo nilikuwa nikipata anayeweza dhibiti,
nakuwa kwa ajili yake tu na hapo wala hata hatuna promises zozote!

Then ktk risechi yangu dada zangu wengine wananiambia lazima uwe mpole, mnyenyekevu na mfuata
upepo dizaini unapo kuwa faragha na mume. Upole kwenye kiwanja? Naona kama mzaha vile!
Kwani kuna ubaya gani nikileta kile kichaa changu ninachokuwa nacho ninapokuwa na ny.ge na wakati pale nang.noka? Na kujiachia kimatendo na kistarehe kwa kujua nipo kula chakula cha roho na cha K? mie sielewi ati. :confused3:
Wanandoa eti sex katika marriage iko vipi? Inatakiwa iwe vipi?

Mwaaaaaah! Hata kama I feel lost!:peep:
Nimeipenda AVATAR yako !
 
Najua soon utakuja na thread nyingine ukisema watu wameshachukua tunda na kusepa..watch...bora unipe mapemma

Saint Ivuga hakuna mtu anaruhusiwa kuchukua tunda langu. Nikiridhia unakula but unaliacha

hapo hapo. hata akisepa sio shida kwangu mana sidhani kama nitataka wa kutia kambi kama kaja tu kula.

afta al mie mlaji mzuri pia, ingawa kwa mtindo wa kumung'unya taratibu hadi point ya myeyusho.

nisha fikisha 29, ningekupa but ndio hivo tena wa 30 ni mume wa kuishi na kuzaa nae.
 
Last edited by a moderator:
naskia uko wanapeana kwa mwezi mara moja na mpk mume atake teh teh.....:A S-baby:

teh teh teh. unanitia majaribuni. nia ni kutolala nae hadi tufunge ndoa.

hapo unaniambia mwezi mmoja kabla tujifungie kwa ajili ya majaribio? teh teh teh.

kwa mimi ninae taka kila saa si msala?
 
Hivi, bila sex hakuna marriage???
What if spouse kapata maradhi, ruksa kucheat?

si kuna mstari unaitwa for beta for worse? nadhani kabla hujajitumbukiza lazima uhakikishe it is beta.

worse ikukute mbele kwa mbele. alafu wanasema love is selfless. kama una maradhi na unampenda

spouse wako ina mana unamruhusu akapate kile ambacho wewe huwezi kumpatia. unaonaje hili Kongosho?

ndio mana i want to mari for love. nipo kujifunza kupenda mtu mwengine kuliko ninavojipenda.
 
Last edited by a moderator:
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom