Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Kama nilivosema nimeacha sex spesheli kabisa kwa kujiandaa kwa ndoa na mume ambae hadi
dakika hii sijampata. Hadi najihisi bk kabisaa. Of coz kuna promising kandidets, hivo bado nafanyia kazi.
Kuwatonya labda niseme shemeji yenu huyo naona atatoka hapa hapa jf. Raha iliojee?
niko kwenye mchakato wa kuweka mambo sawa, mambo yakijibu habari kwa mtindo wa news alert fasta!
Nikiwa najiandaa na ndoa ni mengi najifunza. Siku hizi wanandoa tunaiva kweli, wamekuwa
marafiki zangu wakubwa! nipo kama katika research flani hivi ya kuhakikisha najua najiingiza
kwenye nini na nini nitegemee. Kipengele cha kwanza kukifanyia utafiti ni sex in marriage.
Risechi yangu haijakaa vyema. Wote ninao wauliza wanasema wana a wandafu sex life hata
wale ambao nawafahamu wanacheat wake kwa waume! Nabaki na bumbuwazi Erotica mimi.
Kama SEX ipo wandafu kama madai yao kwa nini acheat, kwa mwanaume utasema
nature inamzingua (sentensi ambayo sinunui kwa bei yoyote, uzushi mtupu), mwanamke je nae
ni nature yamzingua? Hata mimi ambae nilikuwa nabadilsha kama nguo nilikuwa nikipata anayeweza dhibiti,
nakuwa kwa ajili yake tu na hapo wala hata hatuna promises zozote!
Then ktk risechi yangu dada zangu wengine wananiambia lazima uwe mpole, mnyenyekevu na mfuata
upepo dizaini unapo kuwa faragha na mume. Upole kwenye kiwanja? Naona kama mzaha vile!
Kwani kuna ubaya gani nikileta kile kichaa changu ninachokuwa nacho ninapokuwa na ny.ge na wakati pale nang.noka? Na kujiachia kimatendo na kistarehe kwa kujua nipo kula chakula cha roho na cha K? mie sielewi ati. :confused3:
Wanandoa eti sex katika marriage iko vipi? Inatakiwa iwe vipi?
Mwaaaaaah! Hata kama I feel lost!eep: