Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

kwa taarifa yako,Kaskazini ndo kuna wenye akili na watafutaji sasa wewe unawaondoaje?
 
Asante kwa kunielewa........! Mimi nilifakiwa tupo second phase....''intelijensia'' kama unanisoma......!

XOXOQY .....utapata tu hapa....ila jiangalie wengine mafrustration yamezidi, wamechanganyikiwa baadala ya kukupa CV yake, anakupa CV ya jamaa aliyemfrustrate, halafu baadae anastuka keshachemka.....just be tolerant!

Taluma i do wonder these people i hv told 'em am that serious bt thy dont take it,ila nmesha fahamu tatzo wengi si wa kule nliko kukataa so they just show m what they got!
 
hili sredi linaendelea bado? ankal na lizzy acheni kuchakachua ma sredi ya watu bana
 
Thread imekaa ki-PM zaidi maana mwenyewe huhitaji ata-PM jamaa halafu sisi hapa tunaendelea kucheza bao
halaf tumeifanyia bonge la favour, huwezi kuamini inatambaa na page ya 18 mida hii. jamaa lazima atasifiwa kijijini kwao kaanzisha sredi JF na imefika page karibu ya 20
 
halaf tumeifanyia bonge la favour, huwezi kuamini inatambaa na page ya 18 mida hii. jamaa lazima atasifiwa kijijini kwao kaanzisha sredi JF na imefika page karibu ya 20
Hahaha!!! Ankal kijijini wanasubiri outcome ya hili sredi
 
Back
Top Bottom