The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Lizzy yaani katika vyote umeona mkono??Hutaki sasa?
Lizzy yaani katika vyote umeona mkono??Hutaki sasa?
Vyote vipi sasa?Mi sivioni ujue!Labda unidokeze!Lizzy yaani katika vyote umeona mkono??
jamanii ndo umeanza kunyanyapaa mapema kiasi iki?:sad:Nimetumwa niwaambie kuwa mnaotafuta wachumba wote mbandike picha zenu, vyeti vyenu vya kuzaliwa na matokeo yako ya kipimo kikubwa.
Kama umeona mkono basi na vingine utaviona tuVyote vipi sasa?Mi sivioni ujue!Labda unidokeze!
kwa taarifa yako,Kaskazini ndo kuna wenye akili na watafutaji sasa wewe unawaondoaje?
Asante kwa kunielewa........! Mimi nilifakiwa tupo second phase....''intelijensia'' kama unanisoma......!
XOXOQY .....utapata tu hapa....ila jiangalie wengine mafrustration yamezidi, wamechanganyikiwa baadala ya kukupa CV yake, anakupa CV ya jamaa aliyemfrustrate, halafu baadae anastuka keshachemka.....just be tolerant!
:laugh::laugh::laugh:Shsssss!!! Usinisemee basi, halafu mwenye thread sijui kaenda wapi naona yuko hapo chini anachungulia tu
bora kuchungulia nina hasira na nyinyi hasa huyu anaye jiita Lizzy
Ehhh tena!?bora kuchungulia nina hasira na nyinyi hasa huyu anaye jiita Lizzy
Si haujamtumia PM ndio maana ana hasira na wewe l.o.lEhhh tena!?
:laugh::laugh::laugh::laugh:Unajiteteahehhehhe mie jee?? mi sjafanya kitu lakini ee?? mie nilikuwa nasoma watu tuu humu>>
Si haujamtumia PM ndio maana ana hasira na wewe l.o.l
Basi kaishapoteza bahatiNimtumie wakati kanidiskwalifai!
Thread imekaa ki-PM zaidi maana mwenyewe huhitaji ata-PM jamaa halafu sisi hapa tunaendelea kucheza baohili sredi linaendelea bado? ankal na lizzy acheni kuchakachua ma sredi ya watu bana
halaf tumeifanyia bonge la favour, huwezi kuamini inatambaa na page ya 18 mida hii. jamaa lazima atasifiwa kijijini kwao kaanzisha sredi JF na imefika page karibu ya 20Thread imekaa ki-PM zaidi maana mwenyewe huhitaji ata-PM jamaa halafu sisi hapa tunaendelea kucheza bao
Inawezekana mimi ndo naikosa!Basi kaishapoteza bahati
Hahaha!!! Ankal kijijini wanasubiri outcome ya hili sredihalaf tumeifanyia bonge la favour, huwezi kuamini inatambaa na page ya 18 mida hii. jamaa lazima atasifiwa kijijini kwao kaanzisha sredi JF na imefika page karibu ya 20