Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

Aaah chelle huoni kuwa mimi ni :ranger::ranger::ranger: :focus:

nakuona aisee,ujue nampenda sana Mourinho.....nikikuona moyo unafurahi......sasa Back to which topic,ya kutafuta mchumba au hiyo ya kwako ya kutaja watuhumiwa wa kuchakachua hii thread......kuna mahali ulinichokoza tena.....we endelea....na kwanini unafupisha jina langu kuwa chelle,huu uonevu utaisha lini??nitaandaman mimi:laugh::laugh::laugh:
 
Shukuru hajarefusha kua Michelleni..alafu alitamke Michelini!Lolz!

ahaaaaaaa Lizzy,nina roho ya paka mimi,hata uniite nini waga nacheka tu hapa kwa laptop.....mtu hanijui akinitusi mi naadhirika nini??
 
Hehehe ndivyo inavyotakiwa dearest!Wengine ukipingana nao tu kwenye thread wanalia mpaka kesho!
 
ahaaaaaaa Lizzy,nina roho ya paka mimi,hata uniite nini waga nacheka tu hapa kwa laptop.....mtu hanijui akinitusi mi naadhirika nini??
Orait.......Roho ngumu au roho katili? coz, paka ukimfungia ndani halafu ukajifanya unampiga, anaweza akakuua wewe!! jasiri kweli yule mdudu!!
Anapiga kongfuu kwa niguu yote na mikucha!!
 
Nafikiri una uwezo wa kutambua kama ulivyotambua kule......utakavyofikiri ndivyo.......
 
nakuona aisee,ujue nampenda sana Mourinho.....nikikuona moyo unafurahi......sasa Back to which topic,ya kutafuta mchumba au hiyo ya kwako ya kutaja watuhumiwa wa kuchakachua hii thread......kuna mahali ulinichokoza tena.....we endelea....na kwanini unafupisha jina langu kuwa chelle,huu uonevu utaisha lini??nitaandaman mimi:laugh::laugh::laugh:
Hapo kwenye red itabidi tuongee vizuri aisee, manake naanza kunusa harufu nzuri....hapo kwenye bluu mbona hilo bonge la nomino we mwenyewe tu hujiamini, halafu chelle bwana hapo kwenye kijani hapo....mi nilijua tu hahahahah. sasa unajua nini.... mpango mzima ni kama ifuatavyo.:car::car::car::car: :tea: :popcorn::violin: :A S-rose: :mwaaah:
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
DA WOMANIZER at WORK.......dah,nakukubali.........unaweza wangapi.....manake kuna sehemu tena nimekuona na ma-loveee yako???na hiyo dimpoz,mmmhhhh
 
mh wallah i have nothing to think about him becouse i do know if he love me or not??? And if u were here i tried my best to avoid hurting him us he did tome before.. When mohammed shoss need me....i also scared to tell him no becouse i know how much pain he will get ...but i did the wright thing to be silent to mohhamed to keep my love continou with hash but what i get it now from him i cant yaani i mean he is just ,,,,,just ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,oooohh my god??
jaribu kwangu
 
DA WOMANIZER at WORK.......dah,nakukubali.........unaweza wangapi.....manake kuna sehemu tena nimekuona na ma-loveee yako???na hiyo dimpoz,mmmhhhh
Chelle chelle chelleeee jama wanipa wazimu mwenzio na maneno yako matamu hayo. Hiyo dimpoz naona umeipenda sana ngoja nikuongeze nyingine. Halafu una wasiwaaaaaasi mimi kwako tena kwa kauli tamu kama hizi nitachomokea wapi tena jamani.
 
ha ha ha ha ha,wanaume kama wewe mi huwakimbia mapema......sishindwi ondoa viapo nilivyoishajiwekea......em niache mtoto wa mwenzio..
 
Hiyo furaha yako tu ........ mwenzio huku moyo kwatu lol. Nitakuachaje na mimi nishanasa manake kama ni samaki basi nishatupwa nchi kavu ujanja sina tena laaziz. Hapo kwenye red najua ushaondoa kiapo cha kutopenda mwanaume tena au sio jokofu la moyo wangu?:busu
 
Back
Top Bottom