Serious..serious..!natafuta mke mtarajiwa!

XOXOQY

Senior Member
Feb 7, 2011
172
36
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani!
My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee a.k.a kitukuu cha Mkwawa,urefu wangu ni 5.8",si mweupe,si mweusi sitajiri si masikini,
sifa za yule nimtakae-Awe tayari kujuana kitabia kabla ya kuingia kwenye rasmi kwenye mapenzi,awe mvumilivu,mwenye akili ya kujitegemea,awe na mtizamo wa mbele,asiwe wa kutoka kaskazini(samahani)!awe na umri kati ya miaka 20-23,awe natura,Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe mkarimu,sura sio ishu,nikimpata aliyekwisha wahi kuumizwa moyo ana nafasi kubwa sana maana nahisi atatulia.
Mawasiliano:Ningependa anitumie email kwanza ndipo nitamtumia namba ya simu kwani siwezi kuidisplay hapa.E-mail yangu ni feyz18@yahoo.com
NOT JOKE......PLIZ BE SERIOUS
 
Mkuu karibu Jamvini..., kweli unayo nia yaani first post.....:twitch:
Anyway Good Luck
 
Duuuh
Na kwa uchunguzi wangu JF imejaa mabinti wa kaskazin
sasa sijui itakuwaje ?!
 
Kilichokuvutia JF ni Hizi picha za Dada zetu ama ni Comments za watu hasa kwenye jukwaa la mapenzi?
anyway nakutakia kila Ra-Heri,

You sound good shemeji
 
Kilichokuvutia JF ni Hizi picha za Dada zetu ama ni Comments za watu hasa kwenye jukwaa la mapenzi?
anyway nakutakia kila Ra-Heri,

You sound good shemeji

hizo picha hata cjaziona(even though there most fakes)hizo comments hata cjazsoma,all i need is mke!.....lol....!
 
hizo picha hata cjaziona(even though there most fakes)hizo comments hata cjazsoma,all i need is mke!.....lol....!

Embu weka yako ya ukweli ili tuone kama uko presentable ndo tutume maombi!!!!
 
Nimetumwa niwaambie kuwa mnaotafuta wachumba wote mbandike picha zenu, vyeti vyenu vya kuzaliwa na matokeo yako ya kipimo kikubwa.
 
Back
Top Bottom