Serikali yapiga marufuku kununua mazao shambani, yaagiza maghala yote kusajiliwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,893
50,621
Serikali imepiga marufuku Wanunuzi kwenda Kununua Mazao ya Wakulima mashambani na kuagiza mazao yote yanunuliwe kwema Maghala yaliyosajiliwa.

My Take: Wenye Stoo na madalali Sasa kazi mnayo..

========

Wizara ya kilimo Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu utaratibu wa kuuza, kununua na kurasimisha biashara za mazao nchini ambapo moja ya taratibu ni wafanyabiashara wa mazao kusajili maghala yote binafsi, ya serikali na ushirika na kutoa taarifa za mauzo ya mazao ghalani.
 
Kuna haja ya kumshirikisha mkulima mwenye mazao yake katika haya maamuzi.

Unakuta mkulima wanashida ya pesa, mazao anayo, hilo ghala lililosajiliwa halijulikani liko wapi.

Mkulima afanyeje ?
 
Au Serikali kama inataka Kodi iwe na Vituo vya kuuzia ambapo Wananchi watapeleka mazao hapo Sokoni na.kukutana na wanunuzi
 
Hapa imewalenga madalali wanaoingiza Millions just kwa kununua kwa niaba ya mfanya biashara. Ni kama vile kwa mlango wa nyuma inataka kuwarasimisha.
 
Mkulima asipangiwe
Kulikuwa na soko la Kundemiti wakati fulani.
Wakulima walikuwa wanauza Kunde zao kwa bei nzuri tu.

Mala Serikali ikaingilia kati na kutaka wanunuzi wawe na maghala yaliyosajiriwa.

Toka tamko lile litolewe biashara ya kundemiti ikafa jamla hadi leo.

Haya matamko ya kusajiri maghala yanatolewa kwa vitisho kwa wanunuzi mazao.
Ni matamko yasiyo rafiki kwa mkulima.
Kama hawataki watu wanunue mazao basi inunue Serikali ili wafanya biashara wanunue serikalini.

Mkulima ana hiari ya kuuza mazao yake popote na kwa yeyote. Ili asomeshe watoto wake.
 
Mkulima wa tz anateseka sana
 
Kuna haja ya kumshirikisha mkulima mwenye mazao yake katika haya maamuzi.

Unakuta mkulima wanashida ya pesa, mazao anayo, hilo ghala lililosajiliwa halijulikani liko wapi.

Mkulima afanyeje ?
Sio kweli. Mkukima asijue ghala liko wapi? Atakuwa mkukima wa wapi huyo. Acha hoja za mkato mkato. Kwa mbinu hii mkukima anaweza kunufaika sana kwa kupeleka mazao yake kwenye ghala atakatoa linatoa bei nzuri.
 
Hilo ghala mimi sijawahi kuliona wewe umeliona wapi ?
Mmiliki wa hilo ghala ni Serikali au mtu binafsi ?
Ni Mazao ya aina gani yanayo nunuliwa hapo kwenye ghala ?

Binafsi mimi katika Kijiji changu hakuna hilo ghala.
 
Sio kweli. Mkukima asijue ghala liko wapi? Atakuwa mkukima wa wapi huyo. Acha hoja za mkato mkato. Kwa mbinu hii mkukima anaweza kunufaika sana kwa kupeleka mazao yake kwenye ghala atakatoa linatoa bei nzuri.
Siyo mkukima ni mkulima mkuuu
 
Serikali imepiga marufuku Wanunuzi kwenda Kununua Mazao ya Wakulima mashambani na kuagiza mazao yote yanunuliwe kwema Maghala yaliyosajiliwa.

My Take: Wenye Stoo na madalali Sasa kazi mnayo..

========

Wizara ya kilimo Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu utaratibu wa kuuza, kununua na kurasimisha biashara za mazao nchini ambapo moja ya taratibu ni wafanyabiashara wa mazao kusajili maghala yote binafsi, ya serikali na ushirika na kutoa taarifa za mauzo ya mazao ghalani.

Hatimae akili zimewarudia Bashe na kundi lake. Ungesikiliza sauti zetu tusingefika kwenye shida hii ya chakula.
 
Wapi waliposema Serikali imepiga marufuku kuuza mahindi Nje ya Nchi?
Mkulima ndio anaesaidiwa,yakiuzwa sehemu ambayo inatambulika , Serikali itakusanya pesa na bei itakuwa nzuri..

Mwisho Maghala yatakuwa yanatoa taarifa za kiwango Cha mazao waliyonayo hivyo Serikali itakuwa na makadirio sahihi ya uzalishaji nk..
 
Back
Top Bottom