Serikali yanunua V8 25mpya kutoka Toyota!

Kabisa King Kong III. Kwa kuwa jua limekuchwa, keshonitahakikisha nafika hapo kuyaona kabla sijatia timu wizarani kupata taarifa zaidi yamenunuliwa kwa ajili ya nini na kwa nini wamekiuka ahadi zaoza awali kuwa serikali itaepuka ununuzi wa magri hayo mwaka huu. Nikiwa na taarifa za kutosha namna hiyo ndiyo ninaweza kuwapasha wenzangu habario zenye uhakika na zinazojitosheleza

Safi sana lkn kua makini usije ukaishia mabwepande!!
 
Last edited by a moderator:
land cruiser hardtop zingetosha kabisa kwa kazi zetu,kuliko v8!SISI WATANZANIA MALOFA!Membe janaeti analia hakuna pesa
 
Hivi tukiyakuta huko njiani halafu tukayachoma moto tutakuwa tumekosea!!.
 
sio kwa hili tu,bali kwa mambo mengi hii serikali ni dhaifu na siku moja tutachoka na haya mafisadi tutayaua kama tunavyoua vibaka
 
Serikali sikivu haina hela ya kuwalipa madaktari na hivi vijialimu nyongeza wanayotaka hailipiki.
Magari haya ni ya waheshimiwa mawaziri na maktibu wakuu maana wanakazi ngumu sana na wanaishi kwa taabu sana.
Na hapa hatuhitaji kura za vidaktari na vijialimu.
for sure liwalo na liwe
 
Serikali ya Japan yenyewe haitumii haya magari!!!!!

mbona zoote zina kibebea mizigo? halafu zina mkonga, za serikali yetu hazinzga mikonga bana, hizi naona zinapita halafu kwani hapo wapi maana pale toyota pamepauka sana hapako greenish namna hiyo!
 
Samahani jamani lakini naomba kuuliza. Mleta mada kaja na maneno tu kuwa serikali imenunua magari na kuweka thamanbi yake. Kisha akabandika na picha ya magari. Hivi hapa kuna uthibitisho wowote kwua serikali imenunua magari haya yanayoonekana kwenye picha?

wewe Thomaso unakoelekea utashindwa kuamini hata unachokiona machoni kwako. Juzi MWANAHALISI wamekutajia mpaka salio la shs 1. lililobaki kwenye simu ya mtu wa usalama wa taifa akiwa kwenye zengwe la yule daktari, bado mmekurupuka eti! ooh! uzushi. sasa nyie ni kipi mtakachoamini?? amini hiyo ndo serikali ya ccm inayowajali sana wananchi wake, ha ha haaaa! sijui kwa nini 2015 inchelewa.
 
HayaKodishwi?!!, Nina kademu kangu kananionaga maskini kweli jamani ningelipata hilo jipya ata kwa siku moko tu nikamuosheeee!!!
attachment.php
 
Kama ni Kweli baaasi hakuna heshima ya kuwa Waziri Mkuu Tanzania
...laiti mtu angenifata na kunitaka ushauri wa yule mtoto wa mkulima kuwa Waziri Mkuu ningemshauri otherwise...He is very controversial na statements zake..Ah!!:rant::rant:
 
Duh! Hii ni Serikali Ya HOVYO sijapata kuiona! Hivi huyu Pinda anamatatizo gani? maana hakuna gari itakayonunuliwa bila Ruksa yake! Karuhusu haya? Natamani tukawakodi wachina waje watutawale walau siku 100 tu hawa maharamia wote watakuwa wamenyongwa
 
Back
Top Bottom