Serikali yanunua V8 25mpya kutoka Toyota!

he ni yeye anaruhusu mbona kigeugeu :target:
Duh! Hii ni Serikali Ya HOVYO sijapata kuiona! Hivi huyu Pinda anamatatizo gani? maana hakuna gari itakayonunuliwa bila Ruksa yake! Karuhusu haya? Natamani tukawakodi wachina waje watutawale walau siku 100 tu hawa maharamia wote watakuwa wamenyongwa
 
HayaKodishwi?!!, Nina kademu kangu kananionaga maskini kweli jamani ningelipata hilo jipya ata kwa siku moko tu nikamuosheeee!!!



hizo ni picha tu . hayo magari si ya tanzania . kama atabisha mwambie aonyeshe plate number zake
 
hizo ni picha tu . hayo magari si ya tanzania . kama atabisha mwambie aonyeshe plate number zake

Kupe=Mnyonyaji=Wakoloni=CCM! Huna Jipya kwenye sredi ya ighondu unamteea kwenye sredi ya tuntemeke upo tu unamsupport haya mmenunua mashangingi 25 unasema sio ya tz,sasa nenda palm residence ukaone STK.
 
Nadhani kinachotakiwa hapo ni kuonyesha upande wa plate number ili kuthibitisha kwamba ni ya serikali.

Hata hivyo, taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba wizara ya Sheria na Katiba imenunua magari (shangingi) 20 kutoka Toyota Tanzania na delivery ilitarajiwa kukamilika wiki hii na nimeambiwa kati ya jana na leo magari 16 yameshachukuliwa.
Hicho ndicho tunachopaswa kuepukana nacho. Kufikiri vitu na kuvifanya kuwa kweli bila uthibitisho. Nimesema kwua sibishi, ninachokitaka ni utyhibitisho kuwa serikali imenunua magari haya
Yangu macho
 
wilaya mpya na mikoa na mawaziri na manaibu. iko wapi kauri ya serikali kuhusu kununua magari kifahari yenye not more than 3000cc engine. magamba na ufisadi. walimu na madaktari sio kitu.
 
hapana,serikali haijanunua,bali imeyauza
Samahani jamani lakini naomba kuuliza. Mleta mada kaja na maneno tu kuwa serikali imenunua magari na kuweka thamanbi yake. Kisha akabandika na picha ya magari. Hivi hapa kuna uthibitisho wowote kwua serikali imenunua magari haya yanayoonekana kwenye picha?
 
alaf izi ni zile V8 specs for Africa si mnaona hata Rim zake za Masufuria sio za Alloy.....hazina mbwembwe kama zile za waheshimiwa..mbona hatuna taarifa na izi maana siku izi kilakitu tunajua ndani ya Sirikali
 
Magari hayo yenye thaman kwa ujumla wa $2.5mil...yamepaki palm residence! Haya sasa walimu na madakitaree kazi ni kwenu.

Ulitaka wale Marais 16 wanaokuja na entourage zao tuwapakie kwenye mikokoteni?

Nyerere alinunuwa Benz mpya zaidi ya 200 huku watu wanakufa na njaa, kupokelea wageni
 
Back
Top Bottom