Serikali yanunua V8 25mpya kutoka Toyota!

Samahani jamani lakini naomba kuuliza. Mleta mada kaja na maneno tu kuwa serikali imenunua magari na kuweka thamanbi yake. Kisha akabandika na picha ya magari. Hivi hapa kuna uthibitisho wowote kwua serikali imenunua magari haya yanayoonekana kwenye picha?

Hayo magari 25 kwa serkali yako ni magari machache sana!! Stuka wewe usiwe kama Thomaso we una fikiri ya nani hayo?
 
najaribu haikubali,ngoja nikifika home kwa pc.

kudadake! Isije ikawa msaada huu! Kama kweli wamenunua basi huu hi u________! Labda wawape walimu na madr tutawaelewa! Kudadake walai! Tumekwisha! Kama ni kweli ! Pale serikalini hakuna mwenye akili hata mmoja
 
Samahani jamani lakini naomba kuuliza. Mleta mada kaja na maneno tu kuwa serikali imenunua magari na kuweka thamanbi yake. Kisha akabandika na picha ya magari. Hivi hapa kuna uthibitisho wowote kwua serikali imenunua magari haya yanayoonekana kwenye picha?

Basi utakuwa umenunua wewe ukatoa msaada Serikalini.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nimekubali jf ni 1st tiss! Nilikuwa nimepata chance ya kwenda tiss! Ila nimeona bora nibaki jf! Nadhani nitakuwa mkali zaidi
 
basi utakuwa umenunua wewe ukatoa msaada serikalini.

Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums

serikali ya tz ni ya misaada tu! Mpaka chupi na viberiti! Huu utakuwa msaada! Mana bora hata izo pesa wakinunua haya magari ningewaona wa maana! Bali wanazipeleka nje! Na zingine wanahonga na kuzitafuna wao!
 
:doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:...hii nimitaa ya jengo jipya karibu na Ocean Road Hospital...kweli naona hii si serikali sikivu..maana haya madude wangea mua kununua PRADO Ingekuwa bei nafuu na pesa ingebaki wakanunua madawati.....Madawa mahospitalini na vifaa!!

PRADO hazina mikonga mkuu, na hii mijitu inapenda mikonga utafikiri tembo!!
 
the last time i checked kikwete alisema ni mwisho wa kununua haya magari.
Just like he claimed to significantly reduce his tour trips abroad!
To my suprise, he still maintains a record if not to break his own.

unamsikiliza mtani huyo, mzee wa comedy
 
Hayo magari 25 kwa serkali yako ni magari machache sana!! Stuka wewe usiwe kama Thomaso we una fikiri ya nani hayo?
Hicho ndicho tunachopaswa kuepukana nacho. Kufikiri vitu na kuvifanya kuwa kweli bila uthibitisho. Nimesema kwua sibishi, ninachokitaka ni utyhibitisho kuwa serikali imenunua magari haya
 
Hicho ndicho tunachopaswa kuepukana nacho. Kufikiri vitu na kuvifanya kuwa kweli bila uthibitisho. Nimesema kwua sibishi, ninachokitaka ni utyhibitisho kuwa serikali imenunua magari haya

Nadhani kinachotakiwa hapo ni kuonyesha upande wa plate number ili kuthibitisha kwamba ni ya serikali.

Hata hivyo, taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba wizara ya Sheria na Katiba imenunua magari (shangingi) 20 kutoka Toyota Tanzania na delivery ilitarajiwa kukamilika wiki hii na nimeambiwa kati ya jana na leo magari 16 yameshachukuliwa.
 
Hicho ndicho tunachopaswa kuepukana nacho. Kufikiri vitu na kuvifanya kuwa kweli bila uthibitisho. Nimesema kwua sibishi, ninachokitaka ni utyhibitisho kuwa serikali imenunua magari haya

Kwani sredi ya title imesemaje? kama unataka usibitisho fuatilia then uje ku-confirm basi.
 
Hicho ndicho tunachopaswa kuepukana nacho. Kufikiri vitu na kuvifanya kuwa kweli bila uthibitisho. Nimesema kwua sibishi, ninachokitaka ni utyhibitisho kuwa serikali imenunua magari haya
Mkuu unamaanisha unatetea serikali kuhusu hili??STK ni magari ya kupewa au ni kutoka ndani ya serikali??
 
Mkuu habari ya kufikirika au??toa picha mkuu maana serikali kwa kauri yake yenyewe ilisha sema kuyauza hata yaliyopo sasa hayo 25 yanini??Na Palm residence ni wapi mkuu?? King Kong III
Mkuu a nimeziona picha hivyo nimekubali kuwa mflisi wa serikali hii ni serikali yenyewe!!
 
Sijawahi kufika hilo eneo la 'Palm' walioshafika wametambua ukweli!! Nadhani ndio maana hata 'Fire inspection' imepanda kutoka 3000/- mpaka hapo ilipofikia kulingana na 'cc'.. Pinda anaezuga ni mtoto wa mkulima kazi kwake!!
 
Mkuu unamaanisha unatetea serikali kuhusu hili??STK ni magari ya kupewa au ni kutoka ndani ya serikali??
naomba mnielewe jamani... katika hili siitetei wala siisemi serikali, mpaka nitakapothibitisha au kuthibitishiwa kuwa magari haya yamenunuliwa na serikali. Hivi ni gumu kuelewekahilo?
 
Back
Top Bottom