Nyinyi wote ni wapumbavu....hapa hatumwongelei mtuhumiwa, tunamwongelea mama yake....anayo haki ya kwenda kumuona mwanawe japo kwa mara ya mwisho kabla ya kuhukumiwa...kitendo cha polisi kutoa majibu ya kisenge eti hawajui kuhusiana na mwanae zaidi ya kuona kwenye magazeti ni upuuzi...ndo maana huyu mama kawafuata akitegemea vyombo ya dola vitashiriki kujua nini kitafuata, kitendo cha raia wa nchi kuhusika na kukamatwa kwenye nchi jirani then serikali haioneshi kufuatilia kinaonesha the way tulivyokuwa weak....serikali weak...eti wanasubiria msamaha kutoka kenya? Huu ni upumbavu, raia wa nchi hii anahaki ya kuja kuserve adhabu yake nchini na lazima vyombo vya dola vinavyojitambua vifuatilie...jinsi huyo askari anavyoongea anaonekana hata kujua hataki, na wala hawataki kufuatilia....weak country motherfucker.....mbona raia wa nchi zingine wakishikwa kwetu serikali zao zinawaomba ili wawashuhurikie wenyewe...kamata mmarekani uone km us government haijamdemand mtu wao ili wamtrial at home.....matako yenu