Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

Dada yangu Nifah usijidanganye kwa hili....Huenda usijuwe kuwa mumeo ni kicheche ila hali halisi ya wanaume wa Tanzania ni kuwa hakuna and I still don't believe kama kweli kuna mwanaume hapa Bongo hachepuki, nakuhapia this is impossible. Ni vizuri kujipa matumaini lakini hali halisi ndiyo hiyo, hakuna mwanaume hapa Bongo asiyechapa nje. Wengi wana ndoa za mkeka huko nje pamoja na familia za ziada, wake zao wanakuja kugundua baada ya miaka 10 baadaye then wanapatwa na pressure na kujiua.
Mimi sina mchepuko. Na naomba Mungu anistiri nisiwe na mchepuko, labda kuongeza mwingine ikihitajika.
Mi naamini ukizini lazima utaziniwa tu, kama sio mkeo itakuwa Dada yako au mama yako. Most likely mkeo.
Kama unakubali kugongewa na wewe gonga period.
 
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.

=========================
Sijui na ada wanalipiwa na serikali..
 
Mimi sina mchepuko. Na naomba Mungu anistiri nisiwe na mchepuko, labda kuongeza mwingine ikihitajika.
Mi naamini ukizini lazima utaziniwa tu, kama sio mkeo itakuwa Dada yako au mama yako. Most likely mkeo.
Kama unakubali kugongewa na wewe gonga period.
tatizo la sisi wanadamu unaweza wewe ukawa mtakatifu mkeo akawa mchafu saaana inaumiza muno
 
ni mtihani na ndoa yako hapo inaanza kupoteza amani !
hata somalia kuna mi angels ya laana haina mabwana..
matoto yamejazia hatari.
 
Mimi sina mchepuko. Na naomba Mungu anistiri nisiwe na mchepuko, labda kuongeza mwingine ikihitajika.
Mi naamini ukizini lazima utaziniwa tu, kama sio mkeo itakuwa Dada yako au mama yako. Most likely mkeo.
Kama unakubali kugongewa na wewe gonga period.
Naona wewe hujui kitu chochote, mwanamke kuwa Malaya haina maana kuwa unachepuka nje, uwe unachepuka au umetulia malaya anabaki kuwa Malaya tu.
 
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.

=========================

!
!
Hili tangazo lingekuwa Tanzania lingenibariki mno.
 
Eee Mungu wa rehema watilie moyo wa huruma wanawake wa Tz wawapende wanawake wenzao ili nao waishi maisha ya ndoa na walioolewa watulie na waume zao ili na wengine wapate fursa maana Eee Baba si tuko wachache na hawa wenzetu nao pia wanauhitaji wetu Baba gusa mioyo ya watu kama Nifah ili wajue thamani ya wanawake wenzao na uhitaji wao wa wanaume... Amina.
 
Hii sheria ije haraka hapa Tanzania mchepuko wa nje niuharalishe maana unanipenda na kunijari kuliko mke wangu.
 
Eritrea now asks men to marry at least two wives or face imprisonment

ohmdq4gzwx5ju0uvo56a5bca29d13b.jpg

Kenyans have received the news of mandatory polygamy by men in Eritrea with a mix of bewilderment and excitement.

Activists have posted a memo allegedly by the Government of Eritrea asking men to marry at least two wives due to acute shortage of men occasioned by casualties during the civil war with Ethiopia.

In the statement written in Arabic assures of government support to the polygamous marriages.

The activists translate it thus, "Based on the law of God in polygamy, and given the circumstances in which the country is experiencing in terms of men shortage, the Eritrean department of Religious Affairs has decided on the following .”

First that every man shall marry at least two women and the man who refuses to do so shall be subjected to life imprisonment with hard labour.

“The woman who tries to prevent her husband from marrying another wife shall be punished to life imprisonment,” alleges the activists in their translation.

And Kenyans have reacted to these announcements with bemusement with some suggesting if they could change their citizenship immediately and take advantage of the new laws in the country.

“At this rate, I can see the Eritrea Government spreading new embassy outlets in Kakamega, Embu, Siaya and Busia counties to help hasten visa processing,” said one Kenyan on facebook.

“He is so so considerate of women! That's good of him,” said another.

The Standard could not immediately authenticate the document nor the translation and it was not clear why the statement was not in the other two national languages, Tigrinya and Tigre.

The May 1998 to June 2000 Eritrean-Ethiopian war saw 150,000 soldiers killed from either sides but having a bigger impact on male population in the tiny Eritrea nation who were then just 4million people in total.
 
Back
Top Bottom