Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

KWELI Kabisa Mkuu, Hiyo Ni Kawaida Mno!! Wanaume Wa KIAFRIKA Wengi Wetu Tunamiliki "NYUMBA NDOGO " Na UKIONA Mtu Anajifanya Yeye Hana Na Hawezi Kuwa Na "NYUMBA NDOGO " Uje Kikwazo Kikubwa Ni HALI Ya UCHUMI Ni Mbaya!!! NDIO Maana Ktk. Imani Ya Dini KIISLAM, Imeruhusu Kwa Waumini Wake KUOA Wake Zaidi!! IKIWA Mwanaume Huyo Ana UWEZO Wa Kiuchumi, Wa Kuweza Kuwahudumia Wake Zake Kwa Haki, Kwa MAVAZI, MAKAZI, CHAKULA Na MAHITAJI Mengine!!! SASA Imani Nyingine Zinakataza, Huku Waumini Wao Wakimiliki Vimada KIBAO!!! HUKU Uwezo Wa KUOA Wake Zaidi Wanao (UCHUMI) Na WATU Wengine Kutoka Imani Zoote Iwe Waislam Au Nyingine, Ambao UWEZO WETU Kiuchumi Ni Wa Kuungaunga! NDIO Tunachepuka Kwa Misimu Na Wanawake Tofauti, Coz Hatuna UWEZO Wa Kumiliki "NYUMBA NDOGO " Hivyo Inakuwa, Ukiwa Vizuri Unamtafuta, Ukiwaka Unakula Ganzi!!! HIVYO Kama Ikiwa WATU Hao Wana UWEZO Wa Kiuchumi Wa KUWEZA KUOA Na Kutimimiza Masharti Yake, BASI Waruhusiwe Kuoa Tu Wake Zaidi Ya Mmoja!!!! KIZAZI Hiki Cha Sasa Wtt Wa Kike Wanazaliwa Kwa Wingi Mno, Kulinganisha Na Wakiume!!! SASA Hao Wanawake Woote Wataenda Kuishi Kivyao Jmn!!!!!!??


Umeona enheee? Umeongea point mkuu na pia ikumbukwe kuna kina mama wengine (hapa hapa Bongo) wanahonga wanaume wa watu na kujifungisha nao ndoa huku wao (kina Mama) wakilipa kila kitu, wao wanachotaka tu ni kuwa mke wa mtu. Kina mama wengi wanajuwa fulani ni mume wa mtu ila watafanya kila jitihada wakupate na kukutunza, mkeo akizubaa nyumbani imekula kwake kwani mwisho wa siku anapewa talaka bila kutegemea ndipo anaanza kuwa bitter na wanaume wote wakati aliyemsaliti ni mmoja tu. Ni kweli kabisa kama mwanamme hachepuki huyo basi hana uchumi mzuri, kwetu wanaume kutulia na mwanamke mmoja is NOT part of our DNA, this is a known fact ila tu wanawake wasiojitambua hawataki kuamini. Inauma lakini huo ndiyo ukweli na this is coming from a man's point of view, so take it as how you want. Hii ndiyo hali halisi.
 
Hii habari imekanushwa vikali NA Serikali ya Eritrea imesema ilitungwa na gazeti la udaku si mnajua km yale magazeti ya Shigongo
Kwahiyo mjadala ufe...
 
Hii habari IMEKANUSHWA NA SERIKALI YA ERITRE.A...
Kwahiyo mjadala ufe iliandikwa tu NA gazeti LA udaku km Yale ya Shigongo
So ipuuzeni
 
e65802c0d7e4d50fa91813eb529be2a7.jpg
 
NA NIYE WAPUMBAVU MNAVYOMKASHIFU RAIS KUNA SIKU MTAJUTA NA KUELEWA RAIS NI NANI ANDIKENI TU UJINGA WENU USIOKUWA NA MIPAKA.
Ha ha ha mkuu sisi hatuja mkashfu. Kwan serikali ni pamoja na wewe na mimi. Sasa huko eritrie manake mpaka rais wao nae lazima awe na wake 2. The same aplies to us. Kama na sisi tutakubaliana na hili manayake mapaka president naye anatakiwa kuwa na kitu 2
 
Ha ha ha mkuu sisi hatuja mkashfu. Kwan serikali ni pamoja na wewe na mimi. Sasa huko eritrie manake mpaka rais wao nae lazima awe na wake 2. The same aplies to us. Kama na sisi tutakubaliana na hili manayake mapaka president naye anatakiwa kuwa na kitu 2
Mhhh!!!!!!!!???????
 
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.

=========================

Mkuu hizi fursa bado zipo nipate Mke hapo nimuokoe na vita.......Hawa vilandage wa kibongo nishawachoka
 
Back
Top Bottom