Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

Kwa watu wengine ni ibada na imani kuoa mke mmoja wa ndoa,ukilazimisha hapo ni kuingilia uhuru wa kuabudu na utakuwa umevunja haki za binadamu za kuabudu.
 
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.

hapa si tuna ubaloz wa eritrea et eee.. ngoja nikachukue uraia wangu.. halafu nahis mi
nina asili ya eritrea ujue siku nying nilikuwa najiuliza
sema
nikawa sikumbuk sa ndo nimekumbuka
nina asili
ya kule
ngoja nirud kwetu eritrea huku majipu yenu yamenishinda ngoja nikale vitumbua vya asil sio hv vyenu vya mchele mafuta mengi
 
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.
naomba kufahamishwa utaratibu wa kupata viza na kubadili uraia
 
Hahahaha hii habari ya kweli??
 
Uwiiiiiii hiyo ikifika Tz nitakufa Nifah mimi.
Can't share my lovely hubby aisee.
Hata kama anachepuka sio sawa na kuwa na zamu.

Dada yangu Nifah usijidanganye kwa hili....Huenda usijuwe kuwa mumeo ni kicheche ila hali halisi ya wanaume wa Tanzania ni kuwa hakuna and I still don't believe kama kweli kuna mwanaume hapa Bongo hachepuki, nakuhapia this is impossible. Ni vizuri kujipa matumaini lakini hali halisi ndiyo hiyo, hakuna mwanaume hapa Bongo asiyechapa nje. Wengi wana ndoa za mkeka huko nje pamoja na familia za ziada, wake zao wanakuja kugundua baada ya miaka 10 baadaye then wanapatwa na pressure na kujiua.
 
Back
Top Bottom