Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

Hahhahaha lol,mm nahs hapa kwetu waruhusiwe hata watatu watatu
Nifah umenchekesha kwel
Tatzo lao wanapenda sana chpsy ndo maana kitandan zero
 
Hapana,mimi ni one man type of....
Sipendi sharing ktk mapenzi.
Kwahili tu mimi ni selfish vibaya sana.
Hiyo sasa Roho mbaya Nifah! Wewe kila siku ukiambiwa ule magimbi na juice ya viazi asubuhi...mchana na jioni utaweza :p :p :D :eek:
 
Hahhahaha lol,mm nahs hapa kwetu waruhusiwe hata watatu watatu
Nifah umenchekesha kwel
Tatzo lao wanapenda sana chpsy ndo maana kitandan zero
Ila hilo tatizo laweza kua la kweli.. Hao mnaokutana nao Ni kuwa Wa nashindwa kusimamisa? Au wanashindwa kukojoa goli 3+ au wakoje!?

Mungu Wa majeshi na unilinde ee bwana.
 
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.

mkuu tupe link
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom